Pilly Ngenda wa Maisha Plus 2016

Pilly Ngenda wa Maisha Plus 2016

Mbavu za Mbwa

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2011
Posts
303
Reaction score
155
Kwa wale mnaotazama Maisha Plus 2016.. Kuna binti mmoja anaitwa Pilly Ngenda mshiriki kutoka Burundi, hakika ananikosha sana kwa uzuri na urembo wake. Kwa tabia na haiba yake.

Huwa sikosi Maisha Plus 2016 kwa ajili ya huyu binti. Moyo wangu kwatuuu!!

Kama unafuatilia Maisha Plus 2016, AzamTV niambie neno kuhusu Pilly Ngenda
 
Kwahiyo katika vitu vyote Wewe kwa huyo Binti umeona huo ' uzuri / urembo ' wake tu? Hivi tabia ya Mtu inaweza ikatafsiriwa ni nzuri mbele ya Camera? Mkuu neno ' tabia ' lina dhana pana au kubwa sana. Huyo Pilly Ngenda unayemsifia hapo kuwa na tabia nzuri unaweza ukaenda mitaa ya Kwao na kumuulizia kisha ukapata taarifa ambazo zinaweza pengine zikakufanya ' ustaajabu '.
 
Back
Top Bottom