Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.5K
Posts
210.3K
Threads
7.5K
Posts
210.3K

JF Prefixes:

"Wanaume 400,000 wa mikoa minne wafanyiwa tohara" Serikali imesema jumla ya wanaume 400,000 kutoka mikoa minne nchini, wamefanyiwa tohara katika kampeni iliyomalizika hivi karibuni...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
1. Kufuata mkumbo, kutokuwa na maamuzi yako mwenyewe. 2. Kuongea lugha chafu, huwezi kumaliza sentensi bila matusi. 3. Kuvaa mlegezo. 4. Kunyoa panki, kiduku au kuacha afro. 5. Kuvaa viatu vya...
18 Reactions
194 Replies
27K Views
Muda wingi huwa najiuliza mbona watoto wakike wanakuwa wagumu linapokuja swala la kujitegemea kimaisha kwa maana ya kupanga nyumba na kuanzisha maisha? pengine nikafikiri labda ni waoga wa maisha...
1 Reactions
37 Replies
3K Views
Takriban katika maisha ya wanandoa walio wengi kama sio wote, ndoa zao hupitia katika vipindi tofauti. Kama ulivyo umri wa Binadamu, ndoa hupitia katika kipindi cha utoto, ujana na uzee, na kila...
1 Reactions
51 Replies
10K Views
Nimefuatilia kwa kina nakujiuliza ni kwanini wasichana wengi kuolewa imekua tabu? Na hii ni research nimefanya kwa wasichana na vijana wa kiume ili nipate majibu sahihi. Nimekuja kugundua matatizo...
7 Reactions
87 Replies
14K Views
Bwana we si nikatokea kumpenda mkaka mmoja hapa ofisini, muda mrefu tu umepita, sema kila nikijipendekeza alikuwa haelewei somo, basi nikaamua kuacha na hizo mambo za kumuwinda winda kila mara...
2 Reactions
71 Replies
5K Views
Hii ni style gani? Naona now days kila mdada anayo kichwani...si ulaya si Africa. Nipeni jibu.
0 Reactions
87 Replies
20K Views
wandugu,naomba anayefahamu utaratibu wa kufungia ndoa kwa mkuu wa wilaya anifahamishe tafadhali,nahitaji sana cheti cha ndoa na haya mambo ya kanisani sijui harusi yanahitaji muda na pesa za...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
jamanery naombeni, ushauri nina rafiki yangu, anakasirishwa na tabia ya mpenz wake, kila wanapokutana na mpenz wake jamaaa anatka ishu,,,, hata wakiwa ndani ya gari ucku maeneo ya kwao msichana...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wanawake wanaotoka mbangara na gongo la mboto wana nguvu kama wanaume,. kama unabisha jaribu na wewe kufanya research kwenye magari ya dalala yanayoelekea mbangara na gongo la mboto hasa mida...
0 Reactions
3 Replies
997 Views
Wale wadada wasioisha kudharau wanaume wasio na elimu ama wao hawawataki ama wanashangaa na kuwacheka rafiki zao wenye wapenzi wasioenda kidato wanapaswa kupata somo kutokakwa mwandishi nguli wa...
3 Reactions
90 Replies
8K Views
Unampenda, there's no shadow of doubt about it. Ila alikutenda. Yes , and it's still recurring. How can you ever forget that night you found her between the sheets with some other dude. Should...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Siku hizi ukiwa na kisingizio cha kukwepa kupigwa mzinga na wapenda kuomba hela (mabinti) kwa sababu ya kuwa mbali (but within Tanzania) utasikia, "Nitumie basi 20,000/, 50,000/=, 100,000/=, etc...
1 Reactions
36 Replies
4K Views
Nimezaliwa pwani ila nilipokwenda kusoma kanda ya ziwa nilishangaa maajabu tukienda kuoga robo tatu ya wavulana hawajaenda sunna. Hii ilifanya tupendwe na wadada wa kule ambao walikuwa...
1 Reactions
171 Replies
18K Views
Kwa kweli nimevumilia lakini wacha tu niulize nimekua nikiona sana sana wanawake wengi wakiingia kwenye ujane wengi wao wanapendeza na kunawiri sana tofauti na hapo awali kabla ya kuondokewa...
6 Reactions
61 Replies
4K Views
Asanteni kwa kuja, siyo jambo kubwa sana ila nakumbuka tu siku ya kuzaliwa kwangu iliyo muhimu, nasema ni muhimu kwa kuwa ya kufa siijui hivyo sina budi kwendelee kuikumbuka hii ambayo ndiyo siku...
2 Reactions
76 Replies
6K Views
Najiamini sana na najiheshimu na kumheshimu sana. Lakini nasikitika jana kaniambia ameniwekea tego. Je ni halali kumwekea gal friend wako vitu vya ushirikina kama hivyo? Je nifanye test...
5 Reactions
89 Replies
7K Views
Natumaini mu wazima, ni mwaka 1 sasa toka tumefunga ndoa na mwenza wangu na tumejaliwa mtoto mmoja. Na sote ni wafanyakazi, tatizo huyu mume wangu hanishirikishi katika kila analolifanya, mfano...
4 Reactions
126 Replies
9K Views
WAKUU HABARI ZA IJUMAA.ngoja niende moja kwa moja.NAJUA WENGI MNAJUA HUU USEMI BINAMU NYAMA YA HAMU.hivi kumlala binamu sikama kumlala ndugu yako,japo naskia katika kuruani kitu kimealalishwa...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Back
Top Bottom