Hivi punyeto sio tendo la ndoana punyeto mara kwa mara hupelekea nini..?
Wengine wanasema kupiga game kunaondoa matatizo ya moyo kweli kwenye watafiti 4 mmoja ni.....Hata mie nimeshtuka, Magazeti matatu yana tafiti tofauti
Teh, ni nini sasa mkuuPunyeto siyo tendo la ndoa
Tendo la ndoa ni me na ke sasa nyeto ni mtu binafsi kujiselfisha mpk kufika top of mt. kilimanjaroHivi punyeto sio tendo la ndoa
Binafsi naamini ili punyeto ionekane tendo la ndoa au siyo inategemea na wewe tendo la ndoa Kwako ni nini.Punyeto siyo tendo la ndoa
Teh, ni nini sasa mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]Ni kupatwa kwa tendo la ndoa!
Hiyo ndio inaleta ugumba kwa wanaume amini usiaminiHivi punyeto sio tendo la ndoa