Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wanaume hii inaweza kuwa chanzo cha mwanaume kuoa mwanamke ayeona ni Mtamu kitandani,na Mtundu? Au wewe uliangalia tabia,utamu utaupata kwenye kuchepuka?? Au wewe ulioa mwanamke mtamu...
4 Reactions
17 Replies
212 Views
Mtu umeachana nae lakini kwa nini roho na moyo unakusuta? Kwa nini usiendelee na maisha yako ? Ukimuona ana mtu mwingine unaumia, amependeza wewe unamtamani, kwa nini unakuwa hivyo ili hali mliachana?
2 Reactions
29 Replies
399 Views
Wanawake hao hawajakomaa wana utoto mwingi.ila akifika 30 nakuendelea sasa anaweza akawa mke maana anajitambua.
10 Reactions
72 Replies
887 Views
"Kwa mfano Diamond kazaa na mwanamke A mtoto wa kike ambae ni damu yake kabisaa kisheria za dini anaruhusiwa kumwoa mtoto yule kwasababu ni wa nje ya ndoa alipatikana kwa njia ya uzinifu, ndo uone...
6 Reactions
133 Replies
1K Views
Kwema? Aisee kuna mwanamke unaweza kuwa nae kimahusiano na mambo yako yakaenda vizuri sana mpka ukashanga natolea mfano mdogo huyu wa kwangu. Aliniomba elfu 40,00/= nikamuambia sina hela niko...
27 Reactions
85 Replies
6K Views
Hivi vitoto vinajuaje haya mambo? Vina ufundi kuliko dada zao, mkuyenge umeridhika kabisa leo. Njooni Tanga tafuteni wadigo awe wa kuanzia 2006 kuja juu. Utanishukuru. Aah kmmk walai. Maisha ni...
5 Reactions
11 Replies
281 Views
Mimi nimeweza kukaa bila kushiriki tendo la ndoa toka kuzaliwa hadi sasa nina miaka 30 na sijafa. kunao wanaosema wanaume hawawezi...
11 Reactions
64 Replies
1K Views
Wakuu Tutoe.stress za madeni hapa Je unaweza mwambia mwenzio, Akupe style flan, kwa sababu ndo una enyoy?? Au wewe ili mradi tu. Umepewa mbususu. Ila chuma mboga ni...
9 Reactions
75 Replies
879 Views
Habari wadau, Haya mahusiano Yana Siri kubwa sana 1.Wakati wewe mwanaume unafikria kuwa umempata mke wa maisha mwanamke anafurahi kupata boya la kumaliza shida zake za kwao na kumsaidia ex wake...
2 Reactions
11 Replies
176 Views
Siku hizi kwenye magroup ya wanawake, Wanalalamika sana wanaume kuwa achia watoto, Na wao kutokomea kusikojilikana na kwenda kuanzisha family Nyingine huko. Je ni ugumu wa maisha,au gubu la mke...
16 Reactions
111 Replies
1K Views
Shikamoon wakubwa zangu wote Kwanza nitashukuru baadhi ya watu humu Kwa comment na mchango yao mizuri kifupi huwa nafarijika Kwa namna fulani. Lakini kuna watu ni wa ajabu,hawaelewi Kwa mtu...
20 Reactions
272 Replies
3K Views
Mapenzi ya siku hizi yanafurahisha kama hujawahi kuwa muhanga wa michezo. Uko zako Insta au Facebook ama TikTok unavinjari zako tu, ghafla unaona demu ka like comment au post yako na kaku follow...
7 Reactions
13 Replies
323 Views
Kijana wa kiume usishawishike hata upewe mamilioni ya pesa usikubali kuuza utu wako wenyewe mnaita "KUCHANJA" Unapewa kilema cha maisha bila kujua. MADHARA 1. Uwezekano wa kupata UKIMWI na...
83 Reactions
1K Replies
110K Views
Msomaji ungana na Mimi kumtukana huyu Rich,MWANAUME shababi, mrefu mweusi, aliyejaa mbavu Nene, kijana AMBAE Mungu ameisha mfungulia milango ya riziki mpaka kuweza kumwamisha mama Mkwe kutoka...
0 Reactions
8 Replies
159 Views
Kumekuwepo na changamoto nyingi za kifamilia, mojawapo ikiwa ni wanaume baadhi kujikuta wakitunza na kulea watoto ambao si wao. Aliyeweka mimba ni mwingine na aliyerutubisha mimba mpaka kulea...
5 Reactions
66 Replies
488 Views
Inasikitisha. Vijana wanaumia,wanaumizwa mbaya zaidi hawasikilizwi, vijana wa kiume ndiyo kabisa wahanga wa hii kitu wamebaki na Vitu vingi mioyoni mwao. Jinsia na haiba yao inazidi kuwateketeza...
5 Reactions
13 Replies
366 Views
LEO TUTOKE KWENYE NDUMBA NA VIMBOLA, NGOJA TUPIGE STORY WAKATI NIPO YANKII. Nyieeh 😁😁😁🙈 yaani nikikumbuka safari yangu ya Mbinga to Dodoma huwa najiona mjinga sana. Basi nakumbuka ilikuwa mwaka...
3 Reactions
15 Replies
553 Views
Sai sidindishi sina hisia na mwanamke Chini hamna kitu asante mtaalam sasa naona nitakuwa tajiri.
1 Reactions
11 Replies
158 Views
Mtaalamu wa Saikolojia, Dkt. Leonard Mgina, amesema Wanaume wengi hufariki dunia mapema kutokana na kubeba majukumu mengi ya kifamilia, huku wakiachwa kuyasimamia peke yao hali ambayo ameleza kuwa...
5 Reactions
8 Replies
113 Views
Back
Top Bottom