Najua mnaweza sema kwanini asiondoke kimyakimya....hapana ...Kuna wapendwa wasiponiona huanzisha thread...ndiyo...am not special ila naona ni upendo tu walionao kwa Wana family wote wa JF...
Good afternoon Wana jamii forums,
Poleni na hongereni kwa majukumu.
Mimi ni mwanamke miaka 47 single Maza wa watoto wawili ,Mume wangu alifariki miaka miaka mingi imepiata ila kabla ya kufariki...
Guyz, nimegundua kuna trend mpya mjini, wanawake wengi hawa wenye manyonyo makubwa a.k.a mtindi na wale wenye manyonyo ya kati a.k.a mabolibo hawavai kabisa bra, yaani mwanamke kavaa dera lake...
Halow mpo salama?
Hako ka msemo ka SAMAHANI MPENZI WANGU NI SHETAN KANIPITIA huwa kana sehem maalumu ya kutumika, sana sana kanatumiwa na jinsia flani hivi imefika hatua mpaka inakera kusikia...
Nmekuwa mara nyingi nikipata visafari vya nje (namshukuru Samia maana kwa kweli tunazunguka zunguka nchi za watu tushindwe sisi tu) basi sikosi kununua Unyunyu wa ukweli huko kwa watu.
Moja ya...
Anachoongea kwa maandishi
"Na nikuambie siri ya watu wanaorudi katika maisha yako. Wanao rudi au unaokubali kurudi. Kwanza, lazima ujuwe kwamba katika level ya watu kudharaulika, wewe uko kwenye...
Nadhani hii sio mimi pekeangu, kuna jamaa ukimuangalia hadi unamuonea huruma, unajiuliza " hivi huyu atapata mpenzi kweli ?" . Ukweli wanawake wanahuruma sana , na kama isingekua hizi sifa za...
Heri ya mwaka mpya na habari za siku nyingi.
Mwaka jana nilikutana na huyu binti wa kirangi katika mazingira yangu ya kazi, sikujua kama ni mke wa mtu tukawa kama marafiki huku nikimsaidia mambo...
Namwangalia tu huyu secretary niliyepewa. Namcheki nasema hii
Anakuja kufungua mlango kwa makalio ndo anayatumia kusukumia mlango hapo mkononi eti kashika documents au kaniletea kahawa na...
Nimekuwekea hapa zisome Tabia za mwanaume mwenye malengo na wewe.
1. Anakupigia simu mara kwa mara na kukuuliza siku yako imeendaje. Anafanya hivi kirafiki na kwa upendo, haigizi. Anakupenda...
Mwanaume mwenzangu ukimzalisha mwanamke kama hujamuoa basi hudumia usiache damu yako ikahangaika nawewe una uwezo.
Note :nimemaliza sijataja jina la mtu
Makamu wa rais Samia Suluhu Hassan, amesema pamoja na wadhfa alionao, lakini mbele ya mume wake atapiga goti ili kuonesha mahaba aliyonayo kwake.
Alikuwa akiwaambia wanawake kuwa hawako sawa...
Hatari sana leo
Nimetembelewa na mtoto heavy ndo mambo yangu Lakin tunamalizia niende viwanja
Kwanza tuka swim , tukapunga upepo kwa pool , sasa hivi nimpeleke maeneo,
Maana ni mgeni, nauli...
Wadau huyu dogo ana umri wa 33 nimemfukuza bado anaganda. Mme wangu aliniasa nimuache kwa muda ajipange lkn mm naona anazidi kung'ang'ana.
Ni muda mrefu tangu aombe kujipanga, nishamchoka ni...
Ushawahi kupigwa huo mkwara? ilikuwaje kuwaje na je ulipewa au ulitoa tamu? au ulitoka kapa?
Acha nianze:
Kitambo hicho chuo tulikua kipindi cha mitihani, kaboyfriend kakaniomba niende room kwake...
Tendo la sex linamdhalilisha mwanamke na kumfedheesha sana
Jinsi anavyoshughulishwa wakati wa kufanya sex, , abinywee, akunjweee, daah alaf ukute apewi pesa daah sex haipo fair Kwa mwanamke ni...
Wakuu habari ya uzima wenu na majukumu ya maendeleo yenu naamini MUNGU anazidi kuwapigania usiku na mchana.
Basi twende moja kwa moja kwenye maada,kiukweli wakuu nakabiliwa na stress mpaka kuna...
Ni week ya kwanza na mwezi wa kwanza wa mwaka. Tarehe mbili Mr Filajim yupo ofisini kwake hajui aanze na nini. Bado ana uchovu na kwa mbali anasikia maumivu ya kichwa. Wengi wapo likizo isipokuwa...
Anyway leo nimekaa mahali penye umati wa watu wengi kidogo.
Katika kutizama kwangu, nikawa nimeishia kukagua maumbo ya wanawake na sura zao.
Hitimisho.
Kati ya wanawake 258 niliowatazama kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.