Mapenzi ni nini?

Mapenzi ni nini?

bishontongo

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2016
Posts
239
Reaction score
223
Habari wadau,

Hivi mapenzi ni nini? Mbona kila kukicha yanaibuka mapya na kila mmoja anaelezea kivyake? Sasa na wewe nielezee ujuavyo.

Ahsante.
 
muunganiko wa vikojoleo. vyengine mbwembwe
 
mapenzi ni kubeba jukumu la kumlea, kumtunza, kumjali, mwenzio km wazazi wako walivokufanyia.

yaani ukimpata mpenzi mfanye ajifeel km vilebado yupo kwa mama / baba yake umpe upendo wote na mwanaume amhudumie mwenza km alivokuwa akihudumiwq pindi alipokuwa kwa wazazi wake.
 
hahahaa Me too unatengeneza mazingira ya kuhongwa eeh.
 
Kunawanao sema love is a reason and reason is love. Mwasemaje hapo.?
 
Mapenzi ni Pesa

Mapenzi ni uchafu

Mapenzi yanauwa

Mapenzi ya kweli

Mapenzi kitandani

Yaani kiufupi Sijui mapenzi ninini....
Sasa hapo kwenye pesa ndo pananisumbua sijui nani nitaempenda akanivumilia sina pesa za kutosha Mungu anisaidie kwakweli maana nimeshindwa mapenzi haya
 
Ni makitu flani hivi unayohisi kwa mtu wa jinsia tofauti ambayo huko mbele yanaletaga mastress kibao au furaha
 
mapenzi ukichaa mapenzi uchizi we unachokikataa leo mwenzio kinamnyima usingizi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom