Eti mwanaume kama mtoto ataka malezi

Eti mwanaume kama mtoto ataka malezi

Maana yake ukimnyima unyumba atakwenda kuiba huko nje kama vile mtoto ukimnyima chakula wakati wa njaa usishangae akaenda kuiba msosi kwa jirani.
 
kwanini wamama wengi huwa wanasema mwanaume ni kama mtoto ina maana wanaume waana akili za kitoto au?au wanafanya matendo kama watoto?

Mwanaume siku zote ni shujaa wa vita ila kwenye uwanja wa mahaba hugeuka kuwa "ndondocha". Kwa maana hiyo ni wajibu wa mwanamke kutoa "malezi" mazuri ili kumlejesha kwenye hali ya kawaida.
 
Aseeeh..koh nyie kina mama sisi ni watoto? Naombeni mnijibu kwa hoja kuntu
 
ni kweli kabisa.coz mnapendwa kubebwa kifudifudi na chali....na mnang'ang'ania miili ya wenzetu
 
Back
Top Bottom