Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Asilimia kubwa ya wanawake wa mitandaoni wanawaza ngono tu muda wote. Mfano umemtumia mdada ujumbe just for "friendship" (tena hiyo ni salamu tu), ataishia kuangalia na hatojibu ukihoji...
2 Reactions
59 Replies
7K Views
Hivi unapolea mimba na hadi mwanamke anajifungua na kumlea mtoto ila mnapokuja kugombana anakwambia mtoto si wako, hivi hapo mwanamke huwa anamaanisha nini na anahitaji kufanyiwa nini? Hasa hawa...
3 Reactions
97 Replies
10K Views
Habari zenu wanaJF Kuna jambo linanitatiza sana limenikuta mara kadhaa na hata baadhi ya rafiki zangu. Nimejikuta na maswali mengi kutokana na hilo jambo: Mnaposema unataka niwe hot maana...
8 Reactions
252 Replies
20K Views
kuna baadhi ya madem wanatuchoresha sana na kuonekana bado tupo analog unakuta mdada kavaa rundo la mishanga ilo alafu kayasokota sokota balaa alafu hajayafunika na akikaa inaninginia hivi...
7 Reactions
85 Replies
37K Views
Natumaini wote wazima. Jamani nimesikia hichi kibao kipya cha Bahati Bukuku-Umewazidi wote. Kwa kweli huu wimbo umenipa faraja sana. Kwa wale mlio kwenye ndoa, naamini huu wimbo utawapa matumaini...
3 Reactions
10 Replies
3K Views
Wakuu habari ya wakati huu. Wakuu mimi wanawake wengi kama sio wote wa kizungu naowaona au niliokutana nao hapa bongo hawana makalio makubwa. Nimebahatika kukaa miji au maeneo makubwa ya kitalii...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Utajuaje kama mama ako ni mtanzania......... -Ni pale unapo mkopa hela alafu uki mdai.... Ana kuuliza chakula unacho kulaga humu ndani uwa unalipia..? Huyo mbongo -Ni anapokuachia kazi alafu...
6 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari wanabodi, Nimekuja kuomba ushauri. Nimeoa mwezi uliopita sasa kuna kamchepuko kangu kamenasa mimba mwezi niliofunga ndoa, sasa kananisumbua balaa kila muda kanataka niwe nako halafu...
1 Reactions
54 Replies
6K Views
Wadau, Mu hali gani? Kumekuwapo na sintofahamu kati yangu na my wife wangu. najaribu kutaka kumuelewa lakini nabaki njiapanda kama ilivyo kawaida yao ni ngumu sana kumuelewa mwanamke na itabaki...
5 Reactions
130 Replies
14K Views
Hallo Members!! Ladies and Gentlemen!! Hii hapa tena interview ya aina yake, Mada tajwa hapo juu ya husika! Tutajadili mengi yanayohusu mambo ya mawasilino kwa Wapendanao hususani matumizi ya...
4 Reactions
605 Replies
36K Views
Awe muislamu, awe na hofu ya mungu. mengine yote tukutane PM
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Leo mida ya saa 9 alasiri nmekaa na dada mmoja basi nikaona nimuombe namba kama kawaida ya wanaume huwa hatukosagi cha kuongea wakiwepo wadada Huyu du kaniomba ef 30 ili anipe mobile no. yake...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari ya wakati huu wakuu, Naomba niseme ya moyoni, pamoja na kua sifa yangu ya kwanza kwa mwanamke yoyote ni kua na mkia wa maana (Neema za Allah) lakini pia wanawake wanaovaa saa za mkononi...
1 Reactions
52 Replies
8K Views
Ana watoto wake wawili ambao alitoka nao kwa mmewe wa awali, sikufahamu maisha yake baada ya kupotezana naye kwa takribani miaka 9 wakati huo sikuwa na ukaribu naye mkubwa, ni ile kufahamiana tu...
2 Reactions
104 Replies
12K Views
Umepata safari kikazi wakati wa kupanga nguo zako mke wako anakuletea box la condom in case ikitokea dharura utumie unapokea kwa furaha na kusema asante kwa kunijali mke wangu, wakati upo kwenye...
3 Reactions
30 Replies
3K Views
Mimi ni mvulana kuna rafiki Yangu wa kiume naheshimiana nae sana.Amekuwa na mahusiano na Dada mmoja ambae namfahamu nipo nae Jirani sana wamekuwa wakigegedana kwa mda mrefu.Najua mvulana huyu hana...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Wana Body Hope mko powa wote hasa wakiume hili swali linawahusu sana ninyi, Kwa upande wangu hii inakuwa changamoto sana kuwa mwanaume nafananisha na kufika kwenye buffet kuna vyakula vya kia...
1 Reactions
43 Replies
3K Views
Uvumilivu.. Uvumilivu ni hali ya kutulia na kungoja kwa saburi, kuchukuliana kwa upendo, kutazamia kwa kutokukata tamaa na kutokurudisha baya pale unapotendewa. Uvumilivu lazima uendane na...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Nimepatia kusikia habari etii watu wakiwa wachumba halafu Wakashindwa kuoana eti kuna Nyota ya mmojawapo iko juu kwa iyo inabidi sijui eti ishushwe ndo waje waoane. Kuna ukwel juu la hilo jambo...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Back
Top Bottom