be unique
JF-Expert Member
- Oct 12, 2016
- 2,374
- 2,273
Natumaini mpo salama,weekend najua imekwenda vizuri na tayari kwa kesho kuelekea katika mihangaiko ya kila siku.
Katika utafiti wangu mdogo wa hapa jf nimegundua asilimia kubwa na wanaume au wanawake wanaotafuta wapenzi umri wao ni kuanzia miaka 25 kwa wanawake na wanaume mpka miaka 30,kiuhalisia hawa ni watu wazima ina maana ujana wao walikuwa wapi?
Na kwa upande wangu mimi naona ni udhaifu mkubwa sana kutafuta mwanamke jf au hata katika mitandao ya kijamii na watu wengi wa namna hii uwa wana kasoro.
Kama wewe kweli umekamilika haiwezekani huko kazini, mtaani, na hata barabarani usipate mpenzi mpka utafute kwenye mitandao ya kijamii, Au ndugu zangu nyie mna mtazamo tofauti?
Nawasilisha.