Binti kafundwa hadi kawa kama chizi

Binti kafundwa hadi kawa kama chizi

Huyo kapania ndoa kwakweli, mwambie arelax kidogo. Maisha ni ubunifu si kukariri.
 
√Mume Nguo zake zinafuliwa kwa SABUNI za kuogea.
√Maji ya kuoga Mume ni ya chupa
√Glass ya divai ya baba ni ya kibuyu
yaani hii nyumba full vibweka.
Ukiingia ndani ni maua ridi toka sebuleni hadi chooni
Ni kwako mkuu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom