tang'ana
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 12,073
- 16,632
Wakuu,kuna kitu kimenishangaza kidogo hapa.kuna jamaa angu kaniomba nimsindikize kwa sijui ndo nimuite hawara yake au mpenzi wake.hawa watu walikua wana kaugomvi kidogo,sasa jamaa ili kuweka mambo sawa eti amemnunulia huyo mtu wake zawadi ya chupi dozen moja na suruali ya jeans.binti wa watu nae kavipokea hvyo vitu bila hiyana na thanks nyingi kwa jamaa.
Hivi hiyo ndo zawadi kweli ya kumpa binti wa kileo wakuu?
Hivi hiyo ndo zawadi kweli ya kumpa binti wa kileo wakuu?