Wimbo huu ni kwa walio katika mahusiano

Wimbo huu ni kwa walio katika mahusiano

callmeGhost

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2016
Posts
278
Reaction score
832
Natumaini wote wazima.
Jamani nimesikia hichi kibao kipya cha Bahati Bukuku-Umewazidi wote. Kwa kweli huu wimbo umenipa faraja sana. Kwa wale mlio kwenye ndoa, naamini huu wimbo utawapa matumaini na fundisho.

Ningeomba muusikilize alafu mnipe feedback. Kwangu mie, mi nimeupenda sanaaaaaaaaa.

Waiting for your feedbacks.
Link hii

-callmeGhost

1479320437420.png
 
Ni mzuri sana nimeupenda! Tatizo watu hatuko real unasema umewazidi wote wakati baso una mahusiano ya pembeni!
Namuomba Mungu nifanye mema mpaka mke wangu aseme "Umewazidi wote".

Glad you liked it 🙂

-callmeGhost
 
Baada ya kucharangwa mapanga ndo kawazidi wote
 
Ni zaidi kwa waliokuwa ndani ya ndoa. Hauwahusu wakina asha ngedere na asili zao wanaorukaruka na kudandia kila mti wakitafuta matunda.
 
Back
Top Bottom