Mama wa Kiswahili na sifa zao

TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

JF-Expert Member
Dec 1, 2010
5,723
10,228
Utajuaje kama mama ako ni mtanzania.........
-Ni pale unapo mkopa hela alafu uki mdai.... Ana kuuliza chakula unacho kulaga humu ndani uwa unalipia..?
Huyo mbongo

-Ni anapokuachia kazi alafu anaenda na remote kazin.......usisubiry kuambiwa
-Ni pale unapoaga kwenda kwa rafik yako kupiga story halafu anakuuliza hivi lin huyo rafik yako amewahi kuja kwenu....... Huyo hajahamia bongo

Ni pale anapokuuliza kama chakula alichokupakulia kinatosha ukisema hapana anakwambia kapike mwenyewe...... Huyo wa kwetu

Ni pale unapowekewa nguo za aina mbili za jumapil na za kushindia sasa jikute nunda ushindie za jumapil utajuta kwa hayo makofi.......mama huyo wa hapahapa

Ni pale unaposahau kumsalimia asubuh alafu anakusalimia yeye shkamoo.... Ohoo kaa mbali kwa mda huo..... Huyu haina haja ya kuulizia anatokea wapi

Nipale anaposinzia huku mnaangalia tv na hatak mbadilishe channel.....huyu wahapahapa......
Nipale unapokuwa store alafu anakuita jikoni anakwambia nenda kanichukilie mwiko store..... Na huyu niwaambie anatokea wapi..

Kuna Vyombo vingine anavitoa tuu wakija wageni..... Haaahaa ni mama usimuulize utaifa huyu unakosea
Ni pale unavyorud kwenu unamwambia umeshika upili darasan anakuuliza wa kwanza anavichwa viwili??..... Yupo kweny list ya wamama wabongo...

Sasa unataka kujua serikali ina mkono mrefu @Dokoa nyama udakwee!!!!!!!!!
Utamuona trump kwenye mwembe .....
Tu Like na ku Share kama tunawapenda mama zetu wakitanzania.........
 
Utajuaje kama mama ako ni mtanzania.........
-Ni pale unapo mkopa hela alafu uki mdai.... Ana kuuliza chakula unacho kulaga humu ndani uwa unalipia..?
Huyo mbongo
-Ni anapo kuachia kazi alafu anaenda na remote kazin.......usisubiry kuambiwa
-nipale unapo aga kwenda kwa rafik ako kupiga story alafu anakuuliza iv Lin uyo rafik ako amewah kuja kwenu....... Huyo hajahamia bongo
Nipale anapo kuuliza kama chakula alicho kupakulia kinatosha ukisema hapana ana kwambia kapike mwenyewe...... Huyo wakwetu
Ni pale unapo wekewa nguo za aina mbili za jumapil na zakushindia sasa jikute nunda ushindie za jumapil utajuta kwa hayo makofi.......mama huyo wahapahapa
Nipale unapo sahau kumsalimia asubuh alafu ana kusalimia yeye shkamoo.... Ohoo kaa mbali kwa mda huo..... Huyu haina haja ya kuulizia anatokea wapi
Nipale anaposinzia huku mnaangalia tv na hatak mbadilishe channel.....huyu wahapahapa......
Nipale unapo kuwa store alafu anakuita jikoni alafu anakwambia nenda kanichukilie mwiko store..... Na huyu niwaambie anatokea wapi..
Kuna Vyombo vingine anavitoa tuu wakija wageni..... Haaahaa ni mama usimuulize utaifa huyu unakosea
Ni pale unavo rud kwenu unamwambia umeshika upili darasan anakuuliza wa kwanza anavichwa vi wili??..... Yupo kweny list ya wamama wabongo...
Sasa unataka kujua serikali ina mkono mrefu @Dokoa nyama udakwee!!!!!!!!!
Utamuona trump kwenye mwembe .....
Tu Like na ku Share kama tunawapenda mama zetu wakitanzania.........
100% kuna ukweli. Hapo kwenye kudokoa nyama wengi bakora zamewahusu
 
Ha ha ha you made my day happy!
humo kuna ukweli ndo mama zetu let's love them...
 
Umesahau na hii, ana mtoto mdogo wa miaka 2 analia ili kumnyamazisha anampiga zaidi akimwambia 'nyamaza! nyamaza!'
 
Mkila huku mnaongea anadai mtatemea,mkinyamaza mkawa mnakula kmyakmya anawakaripia mnakula kimya kama mnaloga au mnaishi na mama wa kambo
 
unapovunja chombo halafu anakuambia we vunja vunja tu na kesho unanunuliwa vyombo vyako vya plastic
 
Tena wkt wa kuchapa huchapa huku wanakwambia na kosa kama anaimba vile ile michapo ikiwa ndo kama biti

"we nilikuambia(pigo),usikojoe kitandani(pigo),leo utanikoma(pigo),na baba yako akija mwambie(pigo),akikutetea atafua yeye(pigo):D" Hatari sana
 
Back
Top Bottom