Exclusive Interview! Mada: Kuna haja ya kuwa na Communication Privacy kwa Wapendanao?

Mtu yeyote aliyepo kwenye uhusiano na mtu halafu akaunga mkono uwepo wa faragha kati yake na mwenza wake, hapo lazima kuna walakini katika uaminifu.

Akili na busara tu za kawaida zinanifanya nitilie shaka na kuhoji kuwa, kama hakuna la kuficha, faragha ya nini?

Aisee mkuu umenifungua, nimelitafuta neno privacy kwa kiswahili, nimelielewa sasa.
ngoja tujadiliane hapa.
 
Hahaha I have never been single maisha yangu yote, it's either I'm in a relationship with someone or I'm committed to myself 100%. so muda wote huwa Nipo kwenye mahusiano

Don't tell me!! how comes u can commit to ur self?
 
Sio muda utakuwa na mpenzi. Kuna kale ka muda labda umebreak up so you need some time to evaluate yourself au una some reasons za kutokuwa na mahusiano na mtu mwingine kwa wakati fulani. Basi unakuwa in relationship with yourself

Sawa, sasa niambie how many relationships have u come throughout?
 
Good, mada itakuwa nzuri sasa!! Kama ngapi hivi na tueleze kwa kifupi ilikuwaje hapo afu nitakuuliza swali jingine!!
Anza na kutuambia mawasiliano/njia ya mawasiliano ilichangiaje wewe kubrake up?
Uuh to cut the long story short, nilikuta tu mawasiliano ya simu between one of my ex na masichana ambayo yalivunja trust yangu kwa my ex by then ( sio kwamba ilikuwa ndo first time kukuta mawasiliano yasiyoeleweka). Nikipoteza trust na mtu eventually Nalose interest na mtu huyo afu eventually tutabreak up tu. Ni kazi sana kurudisha trust ya mtu kwako once ikiondoka
 
Swali lako inategemea uko stage gani ya mahusiano yenu.

Binafsi naona kama ndio umeanza mahusiano na mtu huna haja ya kumpa kumpa password zako za kila kitu.

Maana bado hujui mahusiano yenu yanaenda wapi. ??Mueleze ukweli kuhusu wewe ,mwanzo kabisa. Anza kumjua taratibu. Jipe muda wa kutosha kabisa kumfahamu mwenzie.

Usikurupuke . Jipange

Ukiona huyu ndie baada ya muda inaweza kuwa miezi sita ,mwaka utakavyojisikia .

Ndipo unaweza kuanza kujitoa muhanga lol.

Ila si shauri kabisa ufanye hivyo kama bado humuamini mtu. Maana si Kila mtu anakutakia mema.

Sio mama ako huyo ni mpenzi na bado si mume.

Taratibu tu .
 
Ulikuwa unachunguza simu yake? sorry, huo uhusiano wako ulikuwa katika level gani?
 
Swali lako inategemea uko stage gani ya mahusiano yenu.

Binafsi naona kama ndio umeanza mahusiano na mtu huna haja ya kumpa kumpa password zako za kila kitu.

Maana bado hujui mahusiano yenu yanaenda wapi. ??Mueleze ukweli kuhusu wewe ,mwanzo kabisa. Anza kumjua taratibu. Jipe muda wa kutosha kabisa kumfahamu mwenzie.

Usikurupuke . Jipange

Ukiona huyu ndie baada ya muda inaweza kuwa miezi sita ,mwaka utakavyojisikia .

Ndipo unaweza kuanza kujitoa muhanga lol.

Ila si shauri kabisa ufanye hivyo kama bado humuamini mtu. Maana si Kila mtu anakutakia mema.

Sio mama ako huyo ni mpenzi na bado si mume.

Taratibu tu .

Asante kwa mchango mzuri, njoo tena baadae kidogo.
 
Back
Top Bottom