Nataka niachane nae kwa amani, nifanyeje?

Sasa hivi nahitaji kuanza maisha mapya ila kunabint nilikuwa kwenye mahusiano nae kwa zaidi ya mwaka sasa, bado ananipenda na anatarajia nitamuoa na anamatatizo ya Moyo, na kila nikitafuta namna ya kuachana nae nashindwa! nitumie njia gani ili pia nisimuumize.

Wait...unasema ulikuwa naye kwenye uhusiano [wakati uliopita] lakini papo hapo unasema kwamba anatarajia utamuoa...

Hapo sijaelewa....kama ulikuwa naye, ina maana sasa hivi hauko naye?

Kama sasa hivi hauko naye, iweje sasa atarajie utamuoa?

Nilidhani labda kusoma na kutokuelewa ni janga lakini kumbe hata kujieleza nako ni vilevile tu.
 
Kwasasa hatupo pamoja mimi nipo mkoa mwingine na yeye mkoa mwingine! tunawasiliana tuu kwa njia ya simu!
 
Wait...unasema ulikuwa naye kwenye uhusiano [wakati uliopita] lakini papo hapo unasema kwamba anatarajia utamuoa...

Hapo sijaelewa....kama ulikuwa naye, ina maana sasa hivi hauko naye?

Kama sasa hivi hauko naye, iweje sasa atarajie utamuoa?

Nilidhani labda kusoma na kutokuelewa ni janga lakini kumbe hata kujieleza nako ni vilevile tu.
Kavurugwa huyo ndio maana
 
unataka kumuacha kwa sababu ya hilo tatzo ama ni vp maana sjaona connection ya kumuacha na tatzo lake la moyo
Lahasha si kwa sababu ya tatizo la lake, ila hofu yangu ni nisije msababishia matatizo baada ya kuachana!
 
We mvulana kwanini unamuacha demu wako mkali hivyo? Kwa vyovyote lazima utamuumiza tu
 
Kavurugwa huyo ndio maana
Wafrika tumeumbwa na roho ya kipekee kbsa tofauti na wenzetu.
Wenzetu hata km ukipresent issue yako kwa broken english atakuelewa na kukushauri lkn ss baada ya kumshauri. Unaanza kuchambua uandishi wake. Unakuwa bado haujamsaidia.

Ni sawa na mtoto anakuja baba/mama nataka maji kunya. Kwahiyo unajua kbsa kwamba huyu anahitaji nini.
Mambo mengine ni yakuyafumbia macho, unaangalia ujumbe
 
Wait...unasema ulikuwa naye kwenye uhusiano [wakati uliopita] lakini papo hapo unasema kwamba anatarajia utamuoa...

Hapo sijaelewa....kama ulikuwa naye, ina maana sasa hivi hauko naye?

Kama sasa hivi hauko naye, iweje sasa atarajie utamuoa?

Nilidhani labda kusoma na kutokuelewa ni janga lakini kumbe hata kujieleza nako ni vilevile tu.
Wafrika tumeumbwa roho ya kipekee kbsa
tofauti na wenzetu.
Wenzetu hata km ukipresent issue yako kwa
broken english atakuelewa na kukushauri lkn ss
baada ya kumshauri. Unaanza kuchambua
uandishi wake. Ni sawa na mtoto anakuja baba/mama nataka
maji kunya. Kwahiyo unajua kbsa kwamba huyu
anahitaji nini.
Mambo mengine ni yakuyafumbia macho,
unaangalia ujumbe
 
Hili si la kulazimishana mana unaweza ukazidi kumuumiza, kiufupi kwani anapajua huko unakoishi? kama hapajui basi mwambie umepata kazi rwandwa, congo au Burundi..mwambie ukifika mtawasiliana, halafu badili namba, au punguza mawasiliano taratib halaf badili namba.
 
mimi nakushauri usimuache ili usimuumize.

unless unambie y unataka kumuacha niangalie kama ni point kubwa basi.
 
Sasa hivi nahitaji kuanza maisha mapya ila kunabint nilikuwa kwenye mahusiano nae kwa zaidi ya mwaka sasa, bado ananipenda na anatarajia nitamuoa na anamatatizo ya Moyo, na kila nikitafuta namna ya kuachana nae nashindwa! nitumie njia gani ili pia nisimuumize.
If it happen unataka kumuacha mtu halafu hutaki aumie pindi utakapomuacha, this psychologically means hata wewe unampenda huyo mtu ila kuna tatizo ( ana kasoro ) kidogo kitu ambacho kina kufanya mapenzi yako kwake yapungue na ufikie uamuzi wa kumuacha. The best advice that i can give is just to find out a solution of her problem but to find a way to leave her am sure i won't work unless you force it. Unajua nakwambia hivo kwa sababu najua 'nothing can happen in vacuum' nikimanisha kwamba lazima kutakuwa na sababu ya wewe kumuacha na hiyo sababu ndio tatizo lenyewe so try to solve that problem ikishindikana mshirikishe na yeye pia mkishindwa kulisolve wote basi hiyo ndio itakua sababu rasmi ya kumuacha. "Am talking from experience, am already did it once".
Gud luck.
 
Mbona rahisi kama ushawahi umizwa kwenye mapenzi mwambie uhusiano wetu mi na wewe ulikuwa ni homework sasa natafta ndoa ambayo ni NECTA atasahihisha akishajua umemwacha
 
Why unahis hawez kuwa mkeo
If it happen unataka kumuacha mtu halafu hutaki aumie pindi utakapomuacha, this psychologically means hata wewe unampenda huyo mtu ila kuna tatizo ( ana kasoro ) kidogo kitu ambacho kina kufanya mapenzi yako kwake yapungue na ufikie uamuzi wa kumuacha. The best advice that i can give is just to find out a solution of her problem but to find a way to leave her am sure i won't work unless you force it. Unajua nakwambia hivo kwa sababu najua 'nothing can happen in vacuum' nikimanisha kwamba lazima kutakuwa na sababu ya wewe kumuacha na hiyo sababu ndio tatizo lenyewe so try to solve that problem ikishindikana mshirikishe na yeye pia mkishindwa kulisolve wote basi hiyo ndio itakua sababu rasmi ya kumuacha. "Am talking from experience, am already did it once".
Gud luck.
Ni kweli kabisa naanza kupata kitu kutoka kwako
 
Sasa hivi nahitaji kuanza maisha mapya ila kunabint nilikuwa kwenye mahusiano nae kwa zaidi ya mwaka sasa, bado ananipenda na anatarajia nitamuoa na anamatatizo ya Moyo, na kila nikitafuta namna ya kuachana nae nashindwa! nitumie njia gani ili pia nisimuumize.
Dogo acha ujinga. Kisa ana matatizo ya moyo ndio umuache ? Grow up.
Dont let that woman go just like that.the time..
love her unconditionaly...

Be her happiness.. for god sake..
Pls dont... ! Kama amejitolea kukupenda all
 
Back
Top Bottom