Snipes
JF-Expert Member
- Jul 2, 2013
- 9,212
- 16,913
Asilimia kubwa ya wanawake wa mitandaoni wanawaza ngono tu muda wote. Mfano umemtumia mdada ujumbe just for "friendship" (tena hiyo ni salamu tu), ataishia kuangalia na hatojibu ukihoji wanakuambia wanaepuka kutongozwa.
Sasa kwa mwananchi wa kawaida unajiuliza kutongozwa ni dhambi? Hiyo moja, mbili ni lazima kila ukitongozwa ukubali??
Ukiwatumia SMS wanawake 100 social networks wakaojibu ni 6 tu. Nashindwaga kuwaelewa kabisa, eti wadada shida nini??