Wasichana na pesa ni kama samaki na maji

tulu

Senior Member
Joined
Aug 30, 2016
Posts
197
Reaction score
145
Leo mida ya saa 9 alasiri nmekaa na dada mmoja basi nikaona nimuombe namba kama kawaida ya wanaume huwa hatukosagi cha kuongea wakiwepo wadada

Huyu du kaniomba ef 30 ili anipe mobile no. yake tumezungushana toka bamaga hadi Ubungo maji msimamo wake ni ule ule

Bac nami nkamzuga kuwa mi nakutumia ef 20, kaniambia tuma, Mi kwenye mpesa ac sikuwa na hiyo basi nikaanza taratibu za kutuma kwenye weka namba nikampa kaiweka no yake, ila nilikuwa namdash tu ili Kuja yuko serious kweli?

Kilicho nishangaza ni huyo du kuanza kuniganda mbona haifika dia nkamwambia hata SMS mpesa hawajairudisha.

Bahat nzuri mpesa wakarudisha hii sms

Samahani, akaunti yako ya M-Pesa haina kiwango cha kutosha kutuma Tsh20,000.00. Tafadhali angalia salio lako kabla yakutuma fedha.

Nimeshangaa wadada na hela sa hivi ni kama samaki na maji
 
Duuh! Watu wengine kujidhalilisha tu. Sa hapo ana tofauti gani na changudoa? Pesa hizi!!!!
 
Tangazo nauza no za wasichana, mabinti,wadada ,na wamama mwenye uhitaji ani pm
 
Mkuu wewe hupendi pesa??

Mbona nyie siku hizi mnatunzwa na mama zenu watu wazima(kuolewa) mixer kuhamia Jinsia ya tatu(ushoga) ila hatuwashikii bango? Yote sababu ya kupenda miteremko mixer kupenda pesa

Kila mtu aplay part yake
Pesa haichukiwi mkuu
 
Leo mida ya saa 9 alasiri nmekaa na dada mmoja basi nikaona nimuombe namba kama kawaida ya wanaume huwa hatukosagi cha kuongea wakiwepo wadada

Huyu du kaniomba ef 30 ili anipe mobile no. yake tumezungushana toka bamaga hadi Ubungo maji msimamo wake ni ule ule

Bac nami nkamzuga kuwa mi nakutumia ef 20, kaniambia tuma, Mi kwenye mpesa ac sikuwa na hiyo basi nikaanza taratibu za kutuma kwenye weka namba nikampa kaiweka no yake, ila nilikuwa namdash tu ili Kuja yuko serious kweli?

Kilicho nishangaza ni huyo du kuanza kuniganda mbona haifika dia nkamwambia hata SMS mpesa hawajairudisha.

Bahat nzuri mpesa wakarudisha hii sms

Samahani, akaunti yako ya M-Pesa haina kiwango cha kutosha kutuma Tsh20,000.00. Tafadhali angalia salio lako kabla yakutuma fedha.

Nimeshangaa wadada na hela sa hivi ni kama samaki na maji
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hivi mnatakaga mapenzi bure wanaume wa dar vipi??nije kwa nauli yangu unile bure bila hata kiinua mgongo what a shameless manner?
 
basi hapo hakuna tofauti xana na wale wa kimboka[emoji23] [emoji2]
 
Kuna dalali mmoja hapa kitaa kaungua kama humjui utadhani bosi Fulani hv kila siku anabadilisha magari tena ndinga za hatari ..

Ase huyu jamaa sijui mpk saizi kawaambukiza hawa wapenda pesa wangapi maana kila siku anabadilisha visichana
 
Back
Top Bottom