The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,147
- 20,078
Habari ya wakati huu wakuu,
Naomba niseme ya moyoni, pamoja na kua sifa yangu ya kwanza kwa mwanamke yoyote ni kua na mkia wa maana (Neema za Allah) lakini pia wanawake wanaovaa saa za mkononi wananivutia sana. Sijui kwanini lakini nikiona mwanamke kavaa saa ya mkononi navutiwa nae sana.
Kina dada vaeni saa inaongeza mvuto na kukufanya uonekane wa tofauti.