Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nina miaka 28, nimeokoka natafuta mke tutakayekubali kuishi pamoja. Umri kuanzia 22-26, elimu atleast form Six and above, awe mkristo na aliyeokoka. Ni PM kama utakuwa tayari Kukejeli si kuzuri...
2 Reactions
23 Replies
4K Views
Hivi kweli limbwata lipo jamani,np kwa ndoa 6yrs now....Naambiwa na watu wa pembeni kila siku wife hakauki kwa waganga,mi sio mkaaji sana home.Nimeshamshuhudia wife akifungua kikaratasi fulani...
4 Reactions
21 Replies
5K Views
Mtoto wa watu umemtanguliza kiwanja hujampa hata hela ya kuanzia akifika mhudumu anamfata kumsikiliza lakini mama wa watu hana cha kuagiza mpaka akusubili! Masikini ya Mungu mtoto wa watu...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wana JF, Kuna ka ukweli ndani yake kuhusu wanawake wengi waliowahi kuishi sinza, wanawake hawa kwa kweli ni standard, mtu unakula kitu roho inataka, ni wasafi, wanajipenda, wanajituma kutafuta...
5 Reactions
78 Replies
7K Views
Bora ukabwe na mwiba wa samaki, yani ukimeza tonge lako moja la ugali wa muhogo kazi kwisha. Sasa ukikabwa na mpenzi mwenye wivu, kila sekunde anataka kujua upo wapi, upo na nani, na umevaa soksi...
1 Reactions
3 Replies
953 Views
1.Wengi wao ni single mothers 2. Wana confidence sana, waliolewa, hawaheshim ndoa, wanajua hata ukimuacha anaweza kuendeleza maisha 3. Wabishi sana wanajiona wanakaribia hadhi ya mume kwenye...
18 Reactions
99 Replies
10K Views
Habari wana MMU, Nimeona nishee hiki kitu humu, Wanawake wengi wamekuwa na uwelewa mdogo kuhusu nini mwanaume huangalia wanapotaka mke na sio demu tu wa kutumia tu na kuacha. Kama...
13 Reactions
96 Replies
8K Views
Wiki iliyopita nilienda nyumbani kwa boyfriend wangu. Anapoishi ni nyumba ya kupanga, kuna nyumba tatu ndani ya fence moja. Moja ya nyumba hizo anaishi dada fulani (age yake kama early 30's) ...
28 Reactions
146 Replies
14K Views
maisha ni safari ndefu, kimzaha mzaha hapa JF unaweza kuanza urafiki na mtu, ukadevelop ukawa MAPENZI, Mapenzi nayo yakawa uchumba, kisha MUNGU akijalia ndoa yenye heri na fanaka ikatoka hapa...
0 Reactions
38 Replies
16K Views
Habari zenu, Tabia ya wasichana kuwaombaomba wanaume hela bila sababu imeondoa imani na heshima kwa wasichana. Utakuta wasichana hao wana kazi, wana biashara ila kutwaa kuombaomba. Hii tabia...
23 Reactions
153 Replies
12K Views
Hivi mtu akikwambia hivi anakua kamaanisha nini "Mapenzi yaleyale wanaume walewale mapenzi ni moyo wengi huponzwa na tamaa".
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Ukweli lazima usemwe bila kujali utawafurahisha wangapi? Ama nani na nani? Malezi ya sasa wanayoyapata watoto wa kike ni malezi mabovu sana kwa maisha yao ya baadae. Si kila jambo ni la kuiga...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwema wakubwa? Wakuu, ni week ya tatu sasa my sweet dearling hataki kupokea simu zangu wala kujibu texts zangu na sielewi nifanyaje. Ishu iko hivi, kuna siku tulikua na mtoko wa jioni pamoja na...
2 Reactions
81 Replies
13K Views
Nimetokea kulipenda kabila la kisukuma mno kwenye swala la mahusiano wanajua kupenda nakujali...hii nimeshuudia kwa jirani yangu nawapa pongez sana..!
4 Reactions
29 Replies
4K Views
Wakuu, Nipo hapa kituo cha Polisi kwa masuala yangu binafsi, ila nimekutana na kesi moja, kuna jamaa kawekwa ndani na mpenzi wake wa kike. Katika uhusiano wao, wamejaliwa kupata mtoto mmoja...
1 Reactions
38 Replies
4K Views
Nianze kwa kusema kwamba nimewa-miss sana wasomaji wangu!Ni wiki moja tu tangu tumeachana lakini kwangu naona nikama mwezi hivi kwani nilitamani niwe nakutana nanyi kila siku kupitia safu hii ila...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Wadau nawasalimu, Mimi na mwanamke wangu tunaishi katika ule utaratibu unaoitwa na wataalam wa mahusiano ""come we stay"" yaani tumekubaliana kuishi pamoja bila ndoa, yeye amenizidi miaka...
4 Reactions
95 Replies
13K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…