mangosongoo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2016
- 256
- 464
Nimetokea kulipenda kabila la kisukuma mno kwenye swala la mahusiano wanajua kupenda nakujali...hii nimeshuudia kwa jirani yangu nawapa pongez sana..!
kama umelipenda kabila la kisukuma na me nimekupenda..!Nimetokea kulipenda kabila la kisukuma mno kwenye swala la mahusiano wanajua kupenda nakujali...hii nimeshuudia kwa jirani yangu nawapa pongez sana..!
Msinionee donge ngosha hapa nang'oa mtoto kwa ubua tu kwa kiki la usukuma.Nimetokea kulipenda kabila la kisukuma mno kwenye swala la mahusiano wanajua kupenda nakujali...hii nimeshuudia kwa jirani yangu nawapa pongez sana..!
kapendea govi huyoDada wanaume wa kisukuma walikupa nini thread ya tatu hii unawaanzishia
Nakushauri jitafutie msukuma mmoja kabla hawajaisha na wewe uonje raha ya kujaliwa
Mimi hapa msukumaNimetokea kulipenda kabila la kisukuma mno kwenye swala la mahusiano wanajua kupenda nakujali...hii nimeshuudia kwa jirani yangu nawapa pongez sana..!
jiran yako kafanya nn hasa? hii thread haina mashiko kwani haielezi kindakindaki kuhus huyo msukuma alichofanyaNimetokea kulipenda kabila la kisukuma mno kwenye swala la mahusiano wanajua kupenda nakujali...hii nimeshuudia kwa jirani yangu nawapa pongez sana..!
Nimetokea kulipenda kabila la kisukuma mno kwenye swala la mahusiano wanajua kupenda nakujali...hii nimeshuudia kwa jirani yangu nawapa pongez sana..!
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]ni kweli kabisa siku akitokea msukuma kunidondokea lazima nisepe nae