Urafiki, Mapenzi, Uchumba na Ndoa JF

Nazjaz

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
7,684
8,832
maisha ni safari ndefu, kimzaha mzaha hapa JF unaweza kuanza urafiki na mtu, ukadevelop ukawa MAPENZI, Mapenzi nayo yakawa uchumba, kisha MUNGU akijalia ndoa yenye heri na fanaka ikatoka hapa JAMII FORUMS.
Lidumu Jukwaa la Mahusiano, mapenzi na urafiki.
naamini kila mtu amesha wahi kupata hisia za mwana JF mmoja, hata kama hujataka urafiki utakuwa umetaka at least umuone.
 
Najisikia kuku dondokea...
Labda nitafika kwenye hatua ya ndoa na wewe, iwapo tu utanikubali leo.
 
Hebu njoo chemba, mambo mengine sio ya kuongelea kwenye kadamnasi, kuna kaka zangu, wasije wakakutenda vibaya
 
maisha ni safari ndefu, kimzaha mzaha hapa JF unaweza kuanza urafiki na mtu, ukadevelop ukawa MAPENZI, Mapenzi nayo yakawa uchumba, kisha MUNGU akijalia ndoa yenye heri na fanaka ikatoka hapa JAMII FORUMS.
Lidumu Jukwaa la Mahusiano, mapenzi na urafiki.
naamini kila mtu amesha wahi kupata hisia za mwana JF mmoja, hata kama hujataka urafiki utakuwa umetaka at least umuone.

hebu hapo tuanze na wewe kwanza,
yupi ambae umeshawahi pata hisia zake?
 
NazJaz....will be back...nitakuja na nazi......tanga rahaaaa
 
Hebu njoo chemba, mambo mengine sio ya kuongelea kwenye kadamnasi, kuna kaka zangu, wasije wakakutenda vibaya

kwani hao kaka zako Nazjaz,
hawajui kuwa wewe unapaswa kutongozwa,
ukiwa kama mwanamke?
 
Ni kweli kabisa Nazjaz na mimi pia nilishasema natafuta mchumba ila bado sijampata alie tayari please tuwasiliane kweny private message
 
maisha ni safari ndefu, kimzaha mzaha hapa JF unaweza kuanza urafiki na mtu, ukadevelop ukawa MAPENZI, Mapenzi nayo yakawa uchumba, kisha MUNGU akijalia ndoa yenye heri na fanaka ikatoka hapa JAMII FORUMS.
Lidumu Jukwaa la Mahusiano, mapenzi na urafiki.
naamini kila mtu amesha wahi kupata hisia za mwana JF mmoja, hata kama hujataka urafiki utakuwa umetaka at least umuone.

Sio siri, natamani sana nikuone, hasa kwa maada zako tamu unazozianzisha!
 
Kwa hii thread lazima midume imfwate Nazjaz PM, wallah tena
Tena ameshamuita mmoja private
Daaah

Eti sred zake tamu, mtumeeeeeeeeeeeee!!!:twitch:
 
maisha ni safari ndefu, kimzaha mzaha hapa JF unaweza kuanza urafiki na mtu, ukadevelop ukawa MAPENZI, Mapenzi nayo yakawa uchumba, kisha MUNGU akijalia ndoa yenye heri na fanaka ikatoka hapa JAMII FORUMS.
Lidumu Jukwaa la Mahusiano, mapenzi na urafiki.
naamini kila mtu amesha wahi kupata hisia za mwana JF mmoja, hata kama hujataka urafiki utakuwa umetaka at least umuone.

Kwenye blue hapo umenigusa kabisa.
 
mbona juzi tu hapa wana jf wamevalishana pete,kila kitu kinawezekana ni kuwa makni na umtanguliza Mungu mbele tu ,maana hata humu sio wote ni wema.
 
Back
Top Bottom