Illuminata Rodgers
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 2,845
- 2,030
Hivi mtu akikwambia hivi anakua kamaanisha nini "Mapenzi yaleyale wanaume walewale mapenzi ni moyo wengi huponzwa na tamaa".
SawaSio kila kitu unachoambiwa uhangaike kukielewa
wengine wanazungumzia tabu zao ambazo wewe hujapitia
kuwaelewa hadi upitie hizo shida zao
Sio kila kitu unachoambiwa uhangaike kukielewa
wengine wanazungumzia tabu zao ambazo wewe hujapitia
kuwaelewa hadi upitie hizo shida zao
We kwani umeielewaje?Hiyo ni kauli ya kiutuuzima, walioona jua kabla yako nahutaielewa mpaka ufikie umri wa kutambua.
Nimeamka salama,vipi wewe?illuminata rodgerz umeamkaje mdogo wangu?
OkayNi KAULI ya kujifariji. Ni kauli ya kuukimbia ukweli. Ulimwengu haujawahi kusimama kwa vibwanga na majonjo ya kila AINA. Kwa maana hiyo jambo lolote lile haliwezi kubaki vile vile.
namshukuru mungu niko salamaNimeamka salama,vipi wewe?