SG8 has reportedly announced to retire from professional football. He was a footballer who can be looked upon as an example by the upcoming generation of footballers. He was loyal to his club, won...
Mume alirejea nyumbani na kukuta ujumbe juu ya meza umeandikwa "NIMEONDOKA" ilikuwa jioni, alienda jikoni na kukuta kukavu, aliwaita watoto na kuwauliza wakasema walimuona Mama akiondoka na begi...
Nje kunani?
1. Kichwa kinanizunguka kwa kuifikiria nje. Ikiwa nje ya nchi, nje ya nafsi, nyumba au aina yoyote ya nje. Najiuliza swali. Kwa nini wengi wa watu wanapenda vya nje? Kuna nini uko...
Dunia hii ni ngumu endapo utaishi kwa kujumlishajumlisha mambo hata ambayo hajumulishiki. Madhara ya kujumlishajumlisha mambo ni kukataa hata yale yasiyokatalika.
Don't marry for sex, don't marry because you are of age.
don't marry because you are getting old,
don't marry because you are lonely, don't marry
because you need someone to support you...
Mimi ni kijana wa kiume, nipo single, nimeajiriwa serikalini. Nina miaka 33. Natafuta mke. Awe na umri chini ya miaka 35. Sichagui dini. Kwa yeyote atakaekuwa tayari tuwasiliane 0689027050
Heshima kwenu wakuu!
Hakika dunia inamengi ya kushangaza name kustaajabisha. Katika kudadisi dadisi kama ilivyokawaida Yangu sikuacha kushangaa jambo hili la mvuto wa jinsia ya kiume kwa wanyama...
Habari wadau!
Mdogo wangu alitangaza kutaka kuoa, kwa kuwa ni jambo la heri tukapeleka barua na taratibu za mahali zikafua!
Tumechumbia mtoto Wa kirangi mzuri sana!
Mahali wametutajia ng'ombe...
Binafsi nikitoka na msichana nishaamua kuugulia maumivu tu mwenyewe, maana nishapata aibu kipindi cha nyuma, kuna manzi nilimlisha sana bata kipindi hiko, kuna weekend kaniomba tutoke, nikamwambia...
Habari za humu wana JF,
Kuna kitu kinaniumiza kichwa. Je ni kweli kukaa na mpenzi wako kila wakati kunaathiri mahusiano na kupelekea kuonana wa kawaida, nikimaanisha asubuhi mnaamka wote...
Hello JF,
Nifanyeje ili niwe na furaha sababu nowdays nimekua sina furaha then muda mwingi nina stress nifanyeje kuondokana na hii hali.
Ushauri please!
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28. Kazi yangu ni mfanyabiashara wa kawaida. Naishi DSM. Nahitaji mwanamke mwenye umri tajwa hapo juu.
Mwanzo nilikuja na...
Hello,
Natumaini wote mko salama kabisa, husika na kichwa cha habari hapo juu
Naitwa Mohamed, naishi Ilala Ukonga, umri miaka 29. Elimu yangu ni ya shahada ya kwanza, nafanya kazi katika kampuni...
Katika familia yetu mimi ni wa mwisho na ni mtoto wa nje ya ndoa. Wazazi wote wamefariki. Tukiwa katika pilikapilika za mambo ya urithi mambo mengi yalitokea, kuna dada yangu mmoja alithubutu...
Moja kwa Moja kwenye mada,
Hivi hawa Wairaq ni watanzania kweli? Mbona wazuri hivi. Tangu nihamie kufundisha kwenye shule ya wasichana maarufu sana hapa nchini, nimepata kuwaona na kuwafundisha...
Katika harakati za kutafuta kazi nilibahatika kufika ofisi moja maeneo ya Mwenge (Dar es salaam) kwangu ilikua faraja kubwa sababu kiukweli nilikua nahangaika sana na hali ya ugumu wa maisha na...
Wanawake wamepewa uwezo wa kuwaelewa wanaume tena kwa haraka hata pale mnapokutana kwa Mara ya kwanza tuu! Kabla hujaonyesha au kutamka neno, mwanamke huwa tayari amejua na huwa anasubiria muda...
Wanaume wanapooa huwa wanawapenda wake zao zao kiukweli ndio maana huwa wanawahudumia kwa kila hali. Lakini ikitokea mwanaume akichepuka ni kwa ajili ya ngono tu kisha anarudisha upendo kwa mkewe...