Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari wakuu?? Kila mmoja wetu nafikiri anajua umuhimu wa mzazi/wazazi katika maisha yake na jinsi alivyowajibika kukufikisha hapo ulipo, ni wazi wazazi wametulea na kutusomesha mpaka leo umeweza...
3 Reactions
26 Replies
6K Views
Mtoto anayelelewa na Mama Mtoto anayelelewa na Baba.
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Nimekuwa kwenye arguments na marafiki zangu nikaonelea siyo mbaya nikashare na Kaka zangu, dada zangu, wakubwa kwa wadogo humu Jf jukwaa la MMU. Debates yenyewe ni hii, kati ya mwanaume na...
0 Reactions
41 Replies
7K Views
Leo nilikuwa napiga stori na Ex wangu ambaye anataraji wiki mbili zijazo kuanza maisha mapya ya ndoa. Mwanamke ni mkorofi, hapatani na yoyote katika familiya yangu. Kifupi ana mdomo hatari afu...
16 Reactions
161 Replies
13K Views
Kuna siku kulikua kuna uzi katikati kuna mdau akamjibu muanzisha uzi epuka kuwa mama wa mpenzi wako kuwa mwenza wake tu Kiukweli haya mambo yanachanganya sana kwa maana kuna mambo...
1 Reactions
85 Replies
11K Views
Mchepuko huo ni mke wa mtu anafanya kazi nzuri tu katika shirika moja hapa Jijini DSM nilimpata baada ya kwenda ofisin kwao mara kadhaa alizimika na athelitc body yangu na jinsi nilivyo akaniomba...
6 Reactions
129 Replies
14K Views
Wakuu yani jana usiku sikupata usingizi kabisa, Kuna demu mmoja niligharamia Elf 15 nikajua ntakula mzigo lakini matokeo yamekuwa tofauti, Naijutia hela yangu ya ngama....
5 Reactions
88 Replies
6K Views
Kila unapomtizama dada mrembo ambaye nataka kumuoa unaishiwa nguvu kabisa na kujikuta naghairi. Fikiria huyu dada mrembo; 1. Kope za Bandia 2. Nyusi za Bandia 3. Kucha za Bandia 4. Nywele za...
4 Reactions
46 Replies
4K Views
Nlikuwa naangalia sinema flani ya mapenzi (love story) ndani kunamacharacter wawili mmoje ke mwingine me. Katika kuishi kwao wakatofautiana wakawa hawako kwenye hali nzuri kwa kipindi kifupi ndani...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Samahani wadau, nauliza inachukua muda gani mtu akikupa hela ya uchumba mpaka kuja kutoa mahari( kujitambulisha)? Mpenzi wangu kanipa hela ya uchumba mwezi huu atakuja mwezi wa pili. Je, ni sawa?
1 Reactions
29 Replies
9K Views
Jamani nombeni tumpe huyu ndugu yetu ushauri. Nilikuwa na mchumba niliyempenda na kuahidiana kuwa nae muda kidogo baada ya kumaliza masomo yangu ya chuoni, nilimpata miezi 2 kabla sijaondoka...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Happy birthday dada yetu. Mungu akuzidishie furaha na heri nyingi katika maisha yako. Dada yetu, tunakupenda na tunakuthamini sana.
6 Reactions
54 Replies
8K Views
Wanajamii hii mitandao mingine ya kijamii yakuangalia matumizi yke kwani kuna dada poa wanajiuza,wengine ni mawasiliano ya kawaida. Basi kuna binti mmoja nilijaribu nione je inawezekana...
1 Reactions
44 Replies
7K Views
Habari JF, Naombeni ushauri jamani, hapa nilipo nimempa mke wa mtu mimba, na mimi mwenyewe ninafamilia yangu. Amesema nikiikana atakuja kwangu aishi, sasa hapa nashindwa nifanyeje, nimemwambia...
3 Reactions
98 Replies
12K Views
Nawasalimu nyote. Naomba kila mtu afunguke juu ya utofauti wa DEMU na MPENZI (ke) au mke nia yangu kuelewa wasifu wa wote hao ili nijitambue nipo site ipi. Wanaume wengi wanatabia ya kumtaja...
2 Reactions
49 Replies
5K Views
Kesho ni Cku ya Mgomo kwa Wanaume wote Duniani.. kukemea vikali Swala la kuhonga Hela Wanawake.. kwa sababu..5 =.1..NYEGE Mnazitafuta wote.. =.2...MAPENZI mnafanya wote.. =.3...VIUNO, Mnakata...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kuna vitu ukiwa kama mwanamke unashangaa sana hasa kwa hawa vijana akikuona JF tu unasikia ni pm, uko fb pia inbox, hao wakija ni kujisifu tuu maneno mengi english nyingi yenyewe ya kwa Ras...
9 Reactions
88 Replies
12K Views
Mimi ni kijana wa kiume, nina miaka 30. Nimehitimu elimu ya Chuo Kikuu ngazi ya Uzamili. Kazi ni Mhadhiri na ninaishi Mwanza. Wana JF, natafuta mchumba mwenye umri usiozidi miaka 30 na...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Lord Jesus. .. Namshukuru mno mno Mungu wangu wa mbinguni, kwa kunipa neema ya kuiona siku hii, na kunipa kibali hiki cha kuweza kuandika maneno haya kwenu muda huu "AHSANTENI SANA"...
102 Reactions
203 Replies
15K Views
SG8 has reportedly announced to retire from professional football. He was a footballer who can be looked upon as an example by the upcoming generation of footballers. He was loyal to his club, won...
0 Reactions
0 Replies
805 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…