Waungwana mwenzenu napata mfadhaiko kabisa. Dhambi ninayofundishwa ni mbaya ma moyo wangu na akili vinachanganyikiwa.
Ni wazi nahitaji msaada wa kisaikolojia,msaada huu nitaomba kwa yule aliye...
Habari Jf
Nimeishi maeneo ya kambi za wavuvi katika ziwa Victoria kwa muda mrefu nikifanya biasha ya kuuza dagaa baada ya kumaliza O-level.
Kwa ujinga au kiburi cha pesa nilikuwa nikibadiri...
Hizi kesi nishashuhudia Mara nyingi Sana, mdada kaumizwa moyo wee mwisho wa siku anaona ajitulize zake kwa mzee apoze maumivu bila kujali ana Familia ama hapana.
Kwanza hata akikupa mimba na...
Siku kadhaa zilizo pita kuna member alitoa post kuhusu utaratibu wa ku-manage nyumba ndogo ili asi lete utata. Member huyo anaitwa The Boss.
Pamoja na kumshukuru kwa kutoa maoni na shauri zake...
If you thought virginity was only an issue in Tanzania, you thought wrong my friend. Natalie Dylan, a 22 years old (in 2008) put her virginity up for sale at moonlite bunnyranch website, to...
Nina rafiki yangu wa kike mzuri kweli ni mtu ambae kweli naappreciate urafiki wake japo ana mapungufu yake kama mimi ila am confortable kusettle nae kama rafiki ana mpenzi wake ambae anafanana...
Nisaidieni wataalamu,
Hii ni siku ya tatu toka mtoto huyu azaliwe na nywele za kiarabu, leo kaja mama mkwe wamemnyoa kabla ya siku saba, nipo kimya muda wote kwa kuwa mke wangu ni mfanyakazi...
Nyimbo za singeli zimekuwa zikipendwa sana na vijana. Hasa vijana wanaotoka mazingira ya Hali ya chini & ya kimasikini.
Ukiangalia jinsi ambavyo hizi nyimbo huchezwa na mitindo yake unagundua...
Nimekaa na mahusiano na mpenzi wangu mpaka sasa ni miezi mitano
Ila nimejaribu kumwambia muda wetu wa kukaa pamoja Mimi na yeye
Tufunge ndoa yetu ila majibu ambayo amenipa nisubiri baada ya...
Naomba kama huna ushauri wa maana usicomment hapa please sitaki ugomvi na mtu huku.. Ok tuendelee.
Kwanza napenda kumshukuru mungu juzi last week nilitimiza miaka kadhaa kwa kweli mimi ni mtu...
Habari za jioni
leo kwa mara ya kwanza kufika dar maeneo ya mbezi mwisho. siku mbili tatu hivi nilikuwa katika kulishangaa jiji la makonda nikakutana na hili.
Nikiwa naenda ya town kama...
asalam aleikhum, wakuu mara nyingi nimeona watu mbali mbali watuma post za kutafuta wenza wa maisha kupitia love connect pia na declare nilishajaribu kutafuta pia. Nilichokigundua ni kuwa wengi...
Natafuta mume ambae yuko serious ani pm
Nina 42 nina watoto mume wangu amefariki miaka 5 iliyopita
Nimejiajiri, najiona mpweke sina kwa sasa nahitaji mwenza
Mkristu na anaemuogopa Mungu
Ila...
UFANISI WA JAMBO LOLOTE UNAHITAJI UTULIVU WA AKILI... Uko na mpenzi wako lakini akili yako inawaza mambo Mengine kabisaa, Mwanamke ili aweze kuwa tayari katika tendo la ndoa inambidi Mwanaume...
Habarini
Wakuu nina vimiezi kadhaa nipo kazini ila nakumbana na vijachangamoto vidogo vinavyohitaji kua na msaidizi wa ndani, mbaya zaidi bado sijaoa ndo kwanza naongeza kipato changu mke baadae...
Naitwa john Rusaku Nina miaka 27,
Napenda sana maisha ya ndoa,mwenyezi mungu alinijalia nikapata kazi serikalini,ila wanawake wote walionipenda walikuja wakiwa kimasilahi maana...