essiey
Member
- Jul 29, 2016
- 57
- 46
Mimi mdada wa miaka 27, Mchumba wangu mlevi ila hataki kukubali kuwa yeye ni mlevi, hana bidii ya kutafuta hata nimapo mwambia kuwa nitamsuporti, anatafuta sababu nyingi mbona hajatimiza jambo au kwanini haliwezekani, nimemvumilia na nimempenda hata kuona anamapungufu kama haya, ila naogopa atakuwa mzigo kwangu baadae.
Nishaurini nifanyeje.
Nishaurini nifanyeje.