Wengine wanaingia, wengine wanatoka

Wengine wanaingia, wengine wanatoka

Private investigator

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2012
Posts
303
Reaction score
287
Uzi huu nimeuweka pia kwenye jukwaa la sheria, Ila kwa kuwa naamini katika jukwaa hili lazima atakuwepo aliyekutana na jambo ninalokumbana sasa, hivyo nahitaji msaada kwa mzoefu yeyeto.
Ndoa yangu ishakufa na mke ameshaondo. Ndoa ilikuwa ya kikanisa na hatujazaa hata mtoto mmoja.
Nahitaji msaada kujuzwa naivunja ndoa hii kupitia hatua zipi? Mke kaondoka mwenyewe, karudi kwao na kapokelewa vizuri. Sihitaji kuendelea na ndoa hii tena. Naivunjaje na Mimi ni mtumishi wa umma?
Nahijaji kuoa upya Ila kizingiti cha ndoa ilivurugwa kinanisumbua.
 
Badala ya kufikiria namna ya kukomboa ndoa yako una waza kuoea tena mwanamke mwingine usipoteze mda wako na wa huyo mwanamke mpya hata hiyo haito dumu
 
Kwa mtu anayejiita private investigator, ni ajabu kuona unashidwa kujuwa cha kufanya.
 
Badala ya kufikiria namna ya kukomboa ndoa yako una waza kuoea tena mwanamke mwingine usipoteze mda wako na wa huyo mwanamke mpya hata hiyo haito dumu
Kuna point inafika hakuna haja kubembeleza mtu ndugu. Bangua kichwa.
 
Hilo kosa hata kanisa lilishindwa kusuluhisha........?....
Anyway.......labda ukamuulize mchungaji/padri wako.......au labda uende mahakamani.......
Huwa naamini mapenzi ni ya wawili, ikifika point MTU ameamua kuondoka maana yake hata upendo umeisha. Kubembeleza ninahisi ni kutunza Bomu LA baadae, bora kila mtu akaendelee na maisha.
Hapo ni Mahakamani labda. Ndo maana nimeomba msaada namna ya kuvunja ndoa kisheria, sio kuisuruisha.
 
Dah......mmegadhabika eeeeeh........
Au hamkupendana nini......?....
Basi sawa.......nenda kwa pilato tu hakuna namna nyingine sasa......
 
Hilo kosa hata kanisa lilishindwa kusuluhisha........?....
Anyway.......labda ukamuulize mchungaji/padri wako.......au labda uende mahakamani.......
Mi nikikuoa halafu ukanipeleka kanisani kusuluhisha, ndo nakuacha MAZIMA. Tukishindwana mm na ww ndo imeisha hyo. Mtu wa 3 atasuluhisha lakn usiku nipo mm na ww tu ndan, yeye hayupo. Kma hatupendani basi hatupendani tu. Sisi wawili ndio wa kujenga au kubomoa, hakuna cha mchungaji wala mzazi
 
Wacha weee ........watu wakali mno nyie bana.......
 
Kila sheria ina mapungufu yake, hata sheria za ndo ni hivyo hivyo.
CHA KUFANYA SASA:
Tangaza kubadili dini, kwa kufanya hivyo unatengua ndoa ya awali. Dini ya pili inaruhusu kuoa mke zaidi ya mmoja, then baada ya muda unarudi kwenye dini yako..
NB: Kama wew ndio chanzo cha ndoa yenu kuvunjika, basi kaa ukijua hata ndoa mpya itakuwa hivyo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom