Kwanza kabisa nianze kwa kuwasalimu ndugu jamaa na marafiki wa JamiiForums.
Kiukweli ilikuwa ni ukakasi kwangu kuingia katika mahusiano lakini kadri muda ulivyokuwa unasonga nilijiona nazinyima...
SPECIAL KWA WADADAS...Ni ndefu lakini jitahidi kusoma...utajifunza kitu kizuri sana......
Jamani enyi wada nisiwafiche, watu wengi huchangia sherehe ili waje kula na kunywa na kuoneshana fahari...
Kumlazimisha mumeo au mkeo avae pete ya ndoa hiyo siyo kinga kwamba hawezi kutoka nje ya ndoa kwakuwa pete hairekodi matendo ya mtu.
Nakukumbusha tu kwamba ndoa bora inajengwa kwa maombi ya...
Nimekuwa nikitafakari mara nyingi ninaposikia habari za kusingiziwa mimba watoto, kwangu mimi naona ni jambo gumu na linahitaji moyo wa ajabu kumsingizia mtu mimba au mtoto. Matokeo na tafiti za...
Habari za weekend wana MMU. Natumai uko salama.
Mimi ni kijana mjasiriamali, nafanya shughuli zangu binafsi. Katika pitapita zangu mnamo 27/2/2016 nilianza mahusiano na binti mmoja ambae kwa...
Habari wakuu,
Mpaka sasa takribani mwaka mmoja tuianze safari yetu ya mapenzi aisee huyu msichana nilikuwa simpendi wakati wa kwanza kwani yeye ndo alianza kunichokonoa habari za mapenzi mi ndo...
Saddy HIV/AIDS day
leo hapa kazini kwetu tunatoa elimu ya ukimwi kwa wanafunzi wa sekondari na vyuoni. nami na mimi niwape elimu hii itawasaidia wadogo zangu.
Ukimwi unapatikana kwenye damu...
Habari wanajukwaa,
Wana body habari za muda huu, ni weekend nyingine tena mwaka unakimbia speed mbaya, wanabody nimekuwa nikisikia watu wakiumizwa na kuumiza kwenye mahusiano
Mimi sijui ni...
Hivi umeshawahi kujiuliza hata siku moja, kwa nini watu wengine ni walevi? Wengine waongeaji sana? Wengine wakimya sana? Wengine waongo sana? Wengine wana tamaa ya ngono kupita kiasi na...
kuna baadhi ya wanawake ambao ni waongo sana, na hiyo inajulikana, hata kuwashinda wanaume ambao inajulikana wao ndo wajanja katika kudanganya kuliko wanawake,
lakini leo tutaangalie vile vitu...
Kuna jamaa kakosa demu kisa tabia yake ya kula chips yai
Jamaa alikuwa na tabia ya kwenda kula chips yai hiyo sehemu ambayo kuna demu anafanya kazi hapo kwa lengo la kujenga ukaribu na huyo demu...
Nyie wadada huwa nashindwa kuwaelewa kabisaa! ni kwanini mnatongozeka kirahisi sana kwa waume za watu, boyfriends wa mtu mwingine au players?
Utakuta ukifutwa na mtu ambaye hajaoa au hana...
Wana JF natumai mu wazima.. Na mnaendelea vyema kulisongesha gurudumu la taifa..
Ngoja niingie kwenye mada moja kwa moja...
Wadungu kutokana na maendeleo ya kijamii na ukuaji wa miji...
Inawezekana ni ubinafsi, pengine upumbavu, ila nipe nafasi ya kuelezea.
Ki-DHANA
Hakuna mwanaume mwaminifu kwa mpenzi mmoja(All men cheat): Hii dhana imeletwa na kusisitizwa na wanawake wenyewe...
Habarini za muda huu wakuu,
Leo nimekuja na swala moja ambapo kiukweli linaitesa jamii yetu kisaikolojia. Kitendo cha kuzaa na mwanamke na kumwacha alee mtoto inaleta tafrani sana hasa kwenye...
HABARI ZENU..
Nina umri wa miaka 23,Kuna binti naendelea kutengeneza uhusiano wa kimapenzi nae...nashukuru mungu japo kihusiano wa kimapenzi hajawa wazi...ila yupo karibu namm sana mpaka nahisi...
Habari za mchana,
Mimi ni kijana wa miaka 30 nimeoa miaka miwili iliyopita na nampenda sana mke wangu.Nimejaribu kumpa mimba mke wangu kwa miaka 2 hiyo lakini imeshindikana, ilinibidi niende kwa...
helo guys!
kwa mila zetu za kibongo imezoeleka kwamba harusi inafanywa na bwana harusi kwao! ondoa wenzetu waislamu!
mfano kama mimi ni mchaga naoana na muhaya sherehe au harusi itakuwa bukoba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.