Uta Uta
JF-Expert Member
- Feb 2, 2016
- 3,743
- 8,802
Habari wanajamvi?
Siku za hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa sana la kujisifia kula 0713. Ukisoma thread nyingi sana zinazohusu mahusiano lazima utasikia tu nakulaga siku moja au vinginevyo.
Kinachonishangaza mnakubaliana huko wawili tu kulana t.go sasa unapokuja hapa mtandaoni kujisifia umekula na huko mlifanya siri ni kipi? Kwamba kula t.go ni ufahari? Ujanja? Utaalam? Au vipi?
Kama kula t.go ni ujanja mbona sijaona mtu akijisifia jana nimeliwa kiboga baada ya kufumaniwa?
Nisaidieni mawazo yenu mi sijaelewa hapa lengo la kujisifia ni lipi?