BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,345
Naomba wenye experience na hii kitu mlioko katika relationship ama ndoa naona kunakuaga na feelings flani amazing sana especially unapoimba na mwenza wako, haswa nyimbo ya kupokezana. Naona kama kuna connection kubwa sana hua inaundwa kwa wawili haswa kama wako katika mahusiano.
Naomba muelezee zaidi wale waliowahi experience yenu inakuwaje yani,, au kama mliimba kwenye harusi yenu ilikuwaje.
Sitaki kuzungumzia couples za marekani sababu nyingi zinajulikana mfano jay z na beyonce kuna tour moja "On the Run" kama sijakosea walifanya pamoja na walikua wanaimba pamoja and unaweza kuwaona walivokua,, hapa kwetu nmependa sana hawa na nyimbo inanikosha sana.