Watajitahidi kwenye misosi ,usafiri nauli watalipa sasa chumba cha hoteli ni ngumu Sana . Ikibidi sana atakupatia fedha uende reception bila yeye kujihusisha.
Hii kitu inanifurahisha sana, x wangu anaomba tuwe friend for benefit yaani ninapomuhitaji muda wowote anakuja tunafanya yetu kisha anasepa ila hataki tuwe official kimapenzi kwakuwa anadai hataki...
Pendekeza jina. Atakae zoa nyingi mshindi. Sianzi mimi, sitakuwa biassed ila ninaweza taja hapo baadae.
Kwanini ni muhimu?
Tumpongeze na tumshukuru kwa mchango wake hapa.
Unaruhusiwa kujitaja...
Habarini wakuu, Nachukua wakati huu kuomba ushauri wa nini niamue maana nipo njia panda na nahisi kuhitaji mawazo ya watu wengine juu ya hili swala.
Picha inaanza nikiwa kidato cha sita (2012)...
Mimi ni kijana wa miaka 30 nimeajilriwa natafuta msichana wa kuoa anayejielewa awe na miaka 20-25, awe na shughuli inayomwingizia kipato.
Aliye tayari tuwasiliane pm.
Wandugu Salaam,
Mimi nipo kwenye ndoa miaka saba sasa na tuna mtoto mmoja, tunaishi Nyanda za juu kusini. Tuliishi kwa amani miaka mitatu tu, tukiwa mimi na mume wangu na mtoto. Baada ya hapo...
Ahsante mwanafa kuwaumbua wadada wa mizinga hujamaliza kumtongoza ashalist matatizo lukuki unayopaswa kumtatulia huku akiona papuchi kama defence mechanism kwake. Hii awamu wasubiri kila hela ipo...
Tafiti nyingi zinaonesha kwamba,
karibu wanawake tisa kati ya kila
kumi wanaridhishwa na maumbile ya
sehemu za siri za waume au
mabwana zao.
Kwa hiyo, ni mmoja tu kati ya
wanawake kumi ambaye...
Mwanaume hata uwe mzuri wa sura kivipi lakini huna gari na vijisenti kidogo mfukoni, hakika utasumbuka sana kutongoza na kukubaliwa kirahisi na mwanamke. Bila kumumunya maneno wala nini, ni ukweli...
wakuu habari zenu Nina mpenzi Wang Mimi niko Tanga yeye yuko mbeya ila simuelewi nimekuwa nikimuhudumia kama mke Wang mtalajiwa mahitaji kama fedha za matumizi madogo madogo lakini nikimtumia huwa...
hili ni tatizo ambalo mtu huhisi hakupaswa kuwa na Jinsia aliyonayo. Mtu anakuwa ni mwanaume lakini akili yake inamuambia yeye ni mwanamke. Wengi huamua kufanya upasuaji wa kubadili jinsia na...
Habar wana MMU
Kuna mtumish wa Mungu(muhubil kituo cha maombi) Anamtaka Mpenz wangu kwa mda mrefu sasa.
Huyu mtumish amekataliwa na mpenz wangu lakin amekuwa mgumu kuelewa na zaid sasa hivi...
Mwanaume kumnyima Mwanamke Hela ni haki [emoji15]
Kwasababu Amezitolea jasho[emoji6]
Lakin Mwanamke Kumnyia Mwanaume Uchi ni dhambi Kumbwa
kwa sababu Hilo shimo hujachangia kulichimba So...
Nimeishi dar kwa kipindi cha miaka mitano na katika miaka hiyo mitano nimeishi sehemu mbalimbali nimeishi maisha ya kijijini kabsa kwa wakulima kigamboni maeneno ya Ngeza vilevile nimeishi...
Nadhani kila mmoja anatamani kuja kua na mume/mke au mpenzi bora kulingana na vigezo vyake.
Na ili lifanikiwe tunamuhusisha Mungu, sasa kuna siku tulikua tunapiga story na marafiki zangu kuhusu...
Watu wanajiita wanandoa lkn kila mtu ana mambo yake.
Mke kutwa kwenye mitandao akichat na mabwana, hali kadhalika mume kutwa anachati na mademu. kwann mliingia kwenye ndoa?
Mko kwenye ndoa lkn...