Friends for benefit..,

Friends for benefit..,

pakapori

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2015
Posts
536
Reaction score
632
Hii kitu inanifurahisha sana, x wangu anaomba tuwe friend for benefit yaani ninapomuhitaji muda wowote anakuja tunafanya yetu kisha anasepa ila hataki tuwe official kimapenzi kwakuwa anadai hataki stress za mapenzi maana alishaumizwa vya kutosha.
Sasa swali langu jamani mwisho wa huu mchezo ni nini maana kuna muda hua namuonea wivu nikimkuta anaongozana na mwanaume mwingine japo sijui kama yeye hua ananionea wivu akinikuta na msichana,
Kwa yeyote mwenye ushauri juu ya friends for benefit naomba maoni tafadhali maana sielewi mwisho wake ni nini...,
 
mna moyo wa nyama kurudiana na x wako...kamwe badani sitorudiana nae .,..kama angekuwa ananiona nina umuhimu kwake asingeniacha angeendelea kubaki na mim sasa sialiniona simfai ..sasa nimrudie wa nin..hakika moyo wangu ni wa chuma SEMA HAPANA KURUDIANA NA ALIYEKUWA MPENZI WAKO..PIGA VITA KURUDIA MATAPISHI ..SAYA NO..SAYA NO TO EX -LOVERS...
 
Kumbe huo msemo ndo maana yake,, nashukuru.
 
mna moyo wa nyama kurudiana na x wako...kamwe badani sitorudiana nae .,..kama angekuwa ananiona nina umuhimu kwake asingeniacha angeendelea kubaki na mim sasa sialiniona simfai ..sasa nimrudie wa nin..hakika moyo wangu ni wa chuma SEMA HAPANA KURUDIANA NA ALIYEKUWA MPENZI WAKO..PIGA VITA KURUDIA MATAPISHI ..SAYA NO..SAYA NO TO EX -LOVERS...
Loh! Pole Mkuu mwache aende kwa kweli yaonyesha alikuumiza sana
 
'friends with benefits
Two friends who have a sexual realtionship without being emotionally involved. Typically two good friends who have casual sex without a monogomous relationship or any kind of commitment.'

Aisee... hii ina work kweli. ?? Mwenye uzoefu na hii kitu ateme hapa.
Bwana lazima kutakuwa na feelings, ni pale unapokutana na marafiki zake akutambulishe kuwa wewe ni rafiki wakati jamaa unamfeel.
 
Mpe anachotaka Marafiki wa faida hupeana na kugawiana walivyojaaliwa
 
mna moyo wa nyama kurudiana na x wako...kamwe badani sitorudiana nae .,..kama angekuwa ananiona nina umuhimu kwake asingeniacha angeendelea kubaki na mim sasa sialiniona simfai ..sasa nimrudie wa nin..hakika moyo wangu ni wa chuma SEMA HAPANA KURUDIANA NA ALIYEKUWA MPENZI WAKO..PIGA VITA KURUDIA MATAPISHI ..SAYA NO..SAYA NO TO EX -LOVERS...
AISEEEEE!
 
Huyo mdada anajitambuwa mpaka basi 🙂

mbona hilo ni bonge la bahati mtu sio anakuganda kijinga | alaf watu wa hivo huwa hawaachani maisha
 
Bwana lazima kutakuwa na feelings, ni pale unapokutana na marafiki zake akutambulishe kuwa wewe ni rafiki wakati jamaa unamfeel.

Umeona ee... hicho kitu hakipo. yani ku f.k bila feelings,emotions., haipo hii.
 
Back
Top Bottom