Natafuta mke jamani

katto14

JF-Expert Member
Jul 28, 2016
226
62
Mimi ni kijana wa miaka 30 nimeajilriwa natafuta msichana wa kuoa anayejielewa awe na miaka 20-25, awe na shughuli inayomwingizia kipato.

Aliye tayari tuwasiliane pm.
 
Kila la heri mkuu.

JF ina watoto wakali wengi sana na wanajielewa...

Ukiwa nyuma ya keyboard huwezi elewa, ila ukihudhuria zile party za JF ndio utaelewa namaanisha nini....

All the best.
 
Mmh wew ni jipu,umesoma na Elimu yako na una kazi,nina wasi na hiyo elimu yako
 
Inshaalah utapata mwandann wako...hata kama sio.humu basi popote mana hamna mahal palipoandikwa ukitaka kumpata mwenza wa maisha kwamba uende sehem flan ndo utampata
 
domo zege sasa wa jf ataongea nae vp hujui anafananaje si bora mtaan unamuona kabisa mtu au kwenye shughuli zake hamna wanawake
Atamtongoza kwa kuchat mpaka mwisho wa siku atakutana naye usiku ili asione aibu
Bahati akute mwanamke mchakaram ndio atafaidi maana bibie atajiongeza akutane na msanii ndio atalia mbona
Domo zege wengi zoazoa tu awe mzuri au mabaya yeye ilimradi kapata
 
Ila mkuu nadhan pia ungetoa kigezo cha kuwa na kipato maana inawezekana mwanamke akawa anafanyakaz ya kufuga na kwa vyovyote itabid akufuate sasa cjui itakuwaje? nadhan ingekuwa busara zaid ungesema awe mchapakaz hata wwe pia ungemsaidia mtaji! otherwise kama utahitaji distance marriage
 
Atamtongoza kwa kuchat mpaka mwisho wa siku atakutana naye usiku ili asione aibu
Bahati akute mwanamke mchakaram ndio atafaidi maana bibie atajiongeza akutane na msanii ndio atalia mbona
Domo zege wengi zoazoa tu awe mzuri au mabaya yeye ilimradi kapata
ha ha ha eti domo zege zoa zoa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom