I can not be fooled! Sauti na gestures za mzungumzaji haviendani kabisa. Maneno yamepachikwa kwenye picha aliyokuwa anazungumza jambo tofauti kabisa. Kama kweli hiyo ni sauti ya Lusekelo basi tuwekeeni proper clip.
Nyetk, soma mwananchi ya ya Leo, mzee Wa BAPA anaendelea na Kali zake! "Waandishi Wa habari walio andika habari zake WATAKUFA MWA KANI,,WASIPOKUFA ATAENDA KWAO KUUZA GONGO"!! fanyeni haraka apelekwe kwenye vipimo vya kichwa, inawezekana BAPA LIMESHAATHIRI FUSE KICHWANI!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.