Habari zenu Wanajamvi? Ni matumaini yangu nyote wazima wa afya. Mimi ni Kijana wa kiume umri miaka 29. Ni muajiriwa Serikalini katika idara fulani. Nahitaji rafiki wa kike mchamungu aliyeshika...
Mimi ni kijana 25 years, Nina jambo limekua likinisumbua mda kitambo kidogo......
In short nilikua namchumba wangu tulipendana sana, Tofauti yetu ilikua katika dini, mama yangu amekua akiniasa...
Kichwa cha habari chahusika,
Nimemaliza chuo mwaka juzi, sijapata kazi mpk time hizi, familia yangu ni ya kimasikini, kutoka ni kwa juhudi zako binafsi, swala la mahali au ndoa wazazi hawalitambui...
Threads za kutafuta wake zimekuwa nyingi sana siku hizi, wanaume wengi siku hizi wanadai wanawake ni pasua kichwa. La mwanamke sio pasua kichwa endapo utakuwa umempatia wa kwako na kujua jinsi ya...
Habari wanajamii,
Nomba mumshauri dada yangu, aliolewa mapema alipomaliza tu chuo lakini wazazi hawakupenda yeye akalazimisha wakamfanyia tu sherehe ndogo wakafunga ndoa kanisani, wazazi...
Haka kaishu nimekafikiria leo sababu ya mambo yanayoendelea hasa kwa dada zetu....
Kuongeza makalio ila ishu kama mwanaume nimegundua
"We men dont love chura but when it comes to matter of...
Ni kiumbe dhaifu km tulivyokalilishawa, ila kiuharithia Mwanamke sio kiumbe dhaifu,Ni kiumbe hatari Sana,hakuna aliyewai kumuelewa kiumbe huyu,hata wao kwa wao hawaelewanagi..
Hana sauti ya...
1.
Niliyainua macho yangu
kulitazama jua liliokuwa linzama
katika miinuko iliyoko magharibi
ya mbali,nilimshukuru Mungu
kwakuwa siku ilikuwa imekwisha.
Anga llibadilka na kuanza
kuonekana na...
Kila mwanaume najua pesa za kubangaiza ila namanisha pesa za kutosha aswa kwa kijana anaeanza maisha ni ngumu kupata mwenza kila mahusiano utakayoanzisha yatavunjika kwa mda mfupi nakukuacha na...
Habarini wakuu,
Wiki moja iliyopita nilikuja jukwaa hili kuomba msaada wa kimawazo juu ya suala lililokua likiendelea kati yangu na boss wangu, (rejea thread yangu ya mwisho) pale ofisini Boss...
Wana JF, mimi ni mwanadada na leo nimeona nijitoe muhanga kabisa maana ninahitaji mume/mchumba. Niko tayari kupokea kukosolewa ila kwa yule aliyeko kwenye shinda kama yangu tafadhali ni PM.
Mimi...
Kwa kweli hawa wanawake/wasichana wanaovuta sigara nimetokea kutowapenda hata sijui kwanini nahisi sigara zilitengenezwa kwa ajili ya kutumia sisi wanaume ila wanawake nadhani wanafosi tu...
Wana janvi natumai mu wazima.. Na mnaendelea kugangamala na uchumi wa hapa kazi tu.. Ambao sio rafiki na mifuko yetu.
Dhumuni kubwa la uzi huu ni kutoa shukrani zangu za dhati kwa ushaur na...
Tatizo la ubakaji linazidi kukua kila siku watoto wenye umri mdogo wanabakwa na watu wazima tatizo huwa ni nini ? [emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17]
Kuna dada mmoja alikuwa na rafiki yake ambaye alikuwa muathirika
Sasa, kuna kaka alimpenda sana yule rafiki naye alimpenda sana yule kaka. Yule dada aliogopa kamwambia yule kaka kwamba rafiki...
Duh sijui hii kitu ni kwangu tu au ata kwa Nyie ndugu zangu inawakuta?
Katika kipindi changu chote tangu nikiwa chuo nimekung'uta papuchi kibao sanaaa mpaka kuna wakati mafikiri ktk zile sharia ku...
Inafahanika kwamba mapenzi ndio mzizi bora katika dunia na hakuna anaependa kusalitiwa. Sasa je katika mahusiano nani huwa anaanza usaliti kati ya MWANAMKE na MWANAUME ???
Hivi mwanamke bora na mwenye unamjuaje ?
[emoji117] Kwa kumuangalia tu ;
[emoji117] Au kuna njia nyingine inayotumika ili kugundua kama ni mwanamke bora ?