Mkomawatu
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 277
- 135
Habari zenu Wanajamvi? Ni matumaini yangu nyote wazima wa afya. Mimi ni Kijana wa kiume umri miaka 29. Ni muajiriwa Serikalini katika idara fulani. Nahitaji rafiki wa kike mchamungu aliyeshika dini ya kiislam, umri miaka 21 hadi 25, elimu kidato cha sita na kuendelea.Mwenye Vigezo hivyo naomba ani PM.Makazi yangu ni Dar es salaam Inshaallah Nawatakia siku njema.