HAVE I LOST MY WIFE TO ANOTHER MAN?
Dave and Clara have been married 4 over nine years without children. They stayed with each other and hoped that they will have a child before their 10th year...
Habari,
Mimi ni kijana wa Kitanzania Government Servant, ninahitani mwanamke umri 23-30 HIV Negative, Superstitious Negative nikipata mnene mwenye mwili itakuwa safi, kwa aliyetayari.
Habari za leo wapendwa,
Jamani leo shost mwingine amepata majanga, huyu niliwahi kufanya nae kazi sehemu flani lakini bado tunamawasiliano.
Kisa chenyewe ni kuwa, shost alipokuwa 30+...
Zawadi ya kwanza kwa mwanaume aliyopatiwa na Mungu ni
-Uhai, ya pili ni
- Mwanamke. Yaani ukipata mwanamke anayekupenda utajua maana ya maisha.
Adhabu ambazo ni mwanaume kapewa kubwa ni.
-Mauti...
Unatoka katika chumba cha mwanamke asubuhi, unasikia wapangaji wenzake wanasemezana;
"Kumbe hata leo alikua na mgeni, mbona hajalalamika sana kama anavyolalamikaga wakija wengine"
Hapo ndio...
Salaam wanaJF,
Katika mishemishe zangu mtaani Leo nimekutana na rafiki yangu wa kitambo sana na katika kujuliana hali akaniomba msaada ni kwa jinsi gani anaweza kupunguza hasira maana amekosana...
Habari wana JF, wakubwa shikamooni,
Samahani kama nitawagusa ila nimekutana na wakaka wengi na katika mazungumzo wengi wanapenda SEX BEFORE MARRIAGE.
Mwingine akadiriki hata kusema anataka binti...
Suala hili kwa sasa limekua kama ndio lina trend hapa Jukwaani. Haipiti siku hujasikia hujaona thread tatu au nne Vijana(hasa wa kiume ) wakitoa lawama na kulalamika ni jinsi gani wanaumizwa na...
[emoji779]CHOMBEZO LA LEO[emoji779]
Poleni Sana madada wa zama hizi wenye umri wa kuanzia miaka 30 na kuendelea. Mliochezea fursa.
1. Ulivyokuwa una miaka18 mpaka 22 walikuja waposaji ukasema...
Habari za mida hii wana JF?
Kuna mfanyakazi mwenzangu hapa ofisini ameniomba ushauri wa matatizo yao ya ndoa yeye na mume wake.
Mume wake ni mfanyakazi wa umma hapa jijini lakini mwaka mpya...
Maana hata ile hamu ya kuwa mke wako leo sioni wengi washavunjwa, wengi wanalelewa na mitandao, mavazi ndo watajua na nafsi zao na kingine kumwaga radhi ndo kila kona mitaani, media, makanisani...
Wakuu happy new year
Mm ni msichana mwenye umri wa miaka 26, Nimeolewa 2013 na tumebahatika kupatat mtoto wa kiume na sasa ana miaka miwili.
Kwa kweli ndoa yetu imekua ya aman sna, kwan wote mm...
Ok. Katika kuangalia tabia za wanawake, nakuja na orodha ya wanawake ambao kama mwanamume unafaa kuwa chonjo nao kwani watayafanya maisha yako ya mahusiano kuwa ya balaa. Labda sahizi uko katika...
Habari wana MMU
Heri ya mwaka mpya
Natumai wote mu wazima. Kuna jambo linanitatiza. kuna mdada mmoja nilimtongoza huku Mwanza kwetu Tena bado bikira tatizo likawa kwenye kuomba papuchi hataki...
Tumekuwa na tabia katika jamii yetu ya kuwachapa watoto mpaka kuwaumiza (sometimes) kwa kuwaadhibu kama wamekosea, hii adhabu inawafundisha au kuwaumiza tu?
Niambieni ndugu zangu makosa yangu yako wapi?
Niambieni kama mikono yangu haijatakasika na damu yake kama bado ipo katika viganja vyangu.
Kama upendo wake ni wa kweli nami nimefanya makosa...
Kiukweli mimi napenda sana wanawake wa kichaga kuliko kabila lolote lile hadi najishangaa.Nimeshauliwa sana na marafiki zangu lakini najaribu kuwakwepa nashindwa kabisa.
Habari za wakati huu waungwana!!
Nianze moja kwa moja kwenye mada ni hivi ninasumbuliwa na UTI kwa muda mrefu sana. Kila nikitumia dawa ninapona na dalili za ugonjwa zote zinaisha ila nikiumwa...