Zawadi na laana Mwanaume alizopewa duniani

Ryan The King

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
2,788
2,690
Zawadi ya kwanza kwa mwanaume aliyopatiwa na Mungu ni
-Uhai, ya pili ni
- Mwanamke. Yaani ukipata mwanamke anayekupenda utajua maana ya maisha.

Adhabu ambazo ni mwanaume kapewa kubwa ni.

-Mauti
-Mwanamke asiye na mapenzi ya kweli.
Yaani ni bora uende jela Kama Lema kuliko kuoa mwanamke asiyekupenda.

Nimeandika baada ya kusikiliza hotuba ya Bwana yule.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom