stubborn wa Njombe
Member
- Dec 8, 2016
- 79
- 170
Habari za wakati huu waungwana!!
Nianze moja kwa moja kwenye mada ni hivi ninasumbuliwa na UTI kwa muda mrefu sana. Kila nikitumia dawa ninapona na dalili za ugonjwa zote zinaisha ila nikiumwa ugonjwa mwingne wowote nikipima tena UTI inaonekana tena.
Mara ya kwanza kuugua huu ugonjwa nilishiriki ngono kinyume na maumbile na binamu yangu yule binti sitaki hata kumiskia tena katika maisha yangu. Aliniambia ni raha sana kuliko mbele nilivyo jaribu ameniachia janga mpaka leo maana baada ya wiki mbili nilianza kuhisi kama kuna uchafu unatoka kwenye uume kwanza nikahisi ni kisonono(Gonorrhea) ila nilipoenda hospital kupima nikaambiwa UTI imekuwa nyingi sana.
Nilijiuliza sana hii inakuwaje ikabidi nimwambie yule binamu yangu shida niliyoipata akanifariji tu kuwa kama ni mara ya kwanza lazima hiyo kitu initokee so akadai nikiendelea kufanya wala sitopata tena hayo matatizo.Nilimuitikia tu lakini sijarudiana naye tena mpaka leo na hili gonjwa bado nahangaika nalo maana linakula hela zangu tu na kumaliza dawa za hospital.
Waungwana naomba ushauri wenu yaani hapa kuna dawa nilipewa nitumie ndani ya siku kumi na kesho ndio ninazimalizia lakini nahisi nikienda kupima nitaambiwa nina UTI tu.Je nifanye nini ili nipone kabisa?
Vijana wenzangu huo mchezo sio mzuri kabisa yaani nilivyoenda Dar badala ya kurudi na ujanja nimerudi na UTI!!!!!!!!