Unapotoka katika chumba cha mwanamke

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Dec 29, 2014
15,267
29,906
Unatoka katika chumba cha mwanamke asubuhi, unasikia wapangaji wenzake wanasemezana;

"Kumbe hata leo alikua na mgeni, mbona hajalalamika sana kama anavyolalamikaga wakija wengine"

Hapo ndio utajua premier bet si kwa ligi ya england pekee.
 
Sidhani kama kuna haja ya kuyabeba hayo maneno kwani huwezi kujua huyo mwanamke anaishi vp na hao majirani zake huenda ikawa ni mbinu ya kuvuruga uhusiano wenu.
Pia unatakiwa kujiongeza usiwe na muda au siku maalum wa kuenda kwa huyo mwanamke ili upate kugundua mbivu na mbichi.
 
Back
Top Bottom