Veronica7598
JF-Expert Member
- Jan 2, 2017
- 361
- 408
Wakuu happy new year
Mm ni msichana mwenye umri wa miaka 26, Nimeolewa 2013 na tumebahatika kupatat mtoto wa kiume na sasa ana miaka miwili.
Kwa kweli ndoa yetu imekua ya aman sna, kwan wote mm na shemeji yenu tunahofu ya kimungu sijawah kugombaba na shemeji yenu na ananipenda sna kwa kweli.
Tatizo lililo nifanya kuja hapa kwenu kuomba ushauri, mwez huu nategemea kupata mgeni wa kudumu mama yangu mkwe ana kuja na mtoto wa shemeji yangu kusoma hapa kwangu, na mama mkwe wangu atakaa hapa kwangu kwa muda mrefu usio julikana mpaka mume wangu ammjengee nyumba ya kuishi huko kijijini, maana yy alikua anaishi nyumba ya shemeji yake baada ya mumewe kufariki sasa wenye nyumba wanaitaka nyumba yao, ikabidi aje kwa mwanae apumzike.
Naomba mnipe mbinu jaman jinsi ya kuishi nae ili tuwe na aman maana naogopa sna, Nasikiaga kwa wenzangu mama mkwe na mawifi wanatabu lakin sijawah kuexpirience. Je nifanyeje ili tuishi kwa upendo na aman muda wote. Maana mm ni mama wa nyumbani sina kazi yoyote nina kadiploma ka human resource ila cjapata kaz ila ninampango wa kuendelea na masomo baadae.
Ushauri wenu wakuu
mm ni mgeni humu ndani japo sina kama mguuni.