Wanaume: Hili la 'sex before marriage', Mungu anawaona!

lulu mkongwa

Member
Sep 15, 2016
42
95
Habari wana JF, wakubwa shikamooni,

Samahani kama nitawagusa ila nimekutana na wakaka wengi na katika mazungumzo wengi wanapenda SEX BEFORE MARRIAGE.

Mwingine akadiriki hata kusema anataka binti amzalie mtoto ndo amuoe eti asijekuwa ameuziwa mbuzi kwenye gunia.

Naomba kuuliza sababu hasa ya kuoa ni nini?

Na je zipo sababu nyingine out of love?
=========

JAMII LEO
 
mpiga domo

JF-Expert Member
Apr 30, 2013
850
1,000
Habari wan jf, wakubwa shkamooni.
Samahan kwa ntakaiwagusa ila nmekutana na wakaka weng na katka mazungumzo wengi wanapenda SEX BEFORE MARRIAGE. Mwngine akadiriki hata kusema anataka bint amzalie mtoto ndo amuoe...et asijekuwa ameuziwa mbuzi kwenye gunia...

Naomba kuuliza sababu hasa ya kuoa n nin?
Na je zipo sababu nyingine out of love?
Shida yenu mnatubania hadi ndoa huku hapo hapo mnaendelea kugawa kwa side niggas.

Thamani yako mwanamke sio uchi wako bali wewe kama wewe ulivyo. Kama mtu ana plan ya kukuoa na kuishi na wewe atafanya hvyo whether ni bikra au sio.
 
lulu mkongwa

Member
Sep 15, 2016
42
95
Kama kwel mwanamke amekupenda hawez kufanya hvyo...hapo either hupendwi au shida inaanzia kwako
Shida yenu mnatubania hadi ndoa huku hapo hapo mnaendelea kugawa kwa side niggas.

Thamani yako mwanamke sio uchi wako bali wewe kama wewe ulivyo. Kama mtu ana plan ya kukuoa na kuishi na wewe atafanya hvyo whether ni bikra au sio.
 
flulanga

JF-Expert Member
Jul 1, 2016
4,596
2,000
Kwasasa no love katika ndoa, kila MTU anaoa/kuolewa kwasababu fulanfulan mwingine ili apate heshima ktk jamii, mwingine shinikizo lawazaz nandugu, mwingine ili apate watoto naawalee pamoja, mwingine ili apate muangalizi wanyumba, mwingine kimaslah zaid, mwingine anaolewa/ anaoa ili aonekane nayeye kama alipitia ndoa ila unakuta hana shida yandoa nawachache kabisa ndio uoa kwamapenzi nania kabisa yakuishi namwenzake sasa inategemeana ulikutana nawaaina gan.
 
mr malcom

Member
Jan 3, 2017
41
95
Kwani ndo chanzo chake n kipi kama ni dini ndo imeanzisha basi hamtakiwi kudhini kabla ya ndo ila kama ni mfumo tu wa maisha ya binadam lolote laweza kuwa ni nyinyi tu wenyewe
 
G.Jacob

JF-Expert Member
Aug 12, 2013
3,577
2,000
Sababu kubwa ya kuoa ni kuwa na Familia yako mwenyewe
Familia ni Baba, Mama na mtoto/watoto.
 
lulu mkongwa

Member
Sep 15, 2016
42
95
Kwasasa no love katika ndoa, kila MTU anaoa/kuolewa kwasababu fulanfulan mwingine ili apate heshima ktk jamii, mwingine shinikizo lawazaz nandugu, mwingine ili apate watoto naawalee pamoja, mwingine ili apate muangalizi wanyumba, mwingine kimaslah zaid, mwingine anaolewa/ anaoa ili aonekane nayeye kama alipitia ndoa ila unakuta hana shida yandoa nawachache kabisa ndio uoa kwamapenzi nania kabisa yakuishi namwenzake sasa inategemeana ulikutana nawaaina gan.
Asante sasa naanza kuelewa...sio kwamba hawa wote walintongoza nooo ila huwa napenda sana kuuliza maswali na kutaka kujua meng
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom