MEKADDISHKEM
Senior Member
- Sep 15, 2016
- 148
- 144
Habari wana MMU
Heri ya mwaka mpya
Natumai wote mu wazima. Kuna jambo linanitatiza. kuna mdada mmoja nilimtongoza huku Mwanza kwetu Tena bado bikira tatizo likawa kwenye kuomba papuchi hataki kutoa.
Mpaka sasa nimeamua kumuacha maana hivi vibikira vinasumbua Sana tatizo kaniacha na nahau anavyodai inasema
"Am a toilet"
wajuvi wa mambo mnahisi Huyu mrembo ana maana gan kuniambia hivi