Mtazamo: Kuongezeka kwa wimbi la walalamikaji wa mahusiano, hasa wanaume kuumizwa na mabinti

data

JF-Expert Member
Apr 9, 2011
26,644
23,474
Suala hili kwa sasa limekua kama ndio lina trend hapa Jukwaani. Haipiti siku hujasikia hujaona thread tatu au nne Vijana(hasa wa kiume ) wakitoa lawama na kulalamika ni jinsi gani wanaumizwa na mabinti katika mahusiano.

Nimekaa nikjiuliza ni kwanini mabinti wengi sasa hubadili gia angani na kuwaacha solemba wapenzi wao waliotoka nao mbali muda mrefu, wengine tangu O/A level ila binti akifika chuo anambwaga Mpenzi wake huyo. Wengine wanakutana chuoni , wanadumu miaka yao yote ya masomo katika mahusiano ila wanapokaribia kuhitimu mabinti hao huwaacha solemba wanaume hao wakihaha. Wengine wanafanikiwa kumaliza chuo pamoja, ila wanapofika mtaani binti bila sababu yote ya msingi anabwagana na mpenzi wake.

Tumefikaje hapa ndugu zangu na vijana hasa wa kiume ambao ndio wahanga wakubwa wafanyaje ili wasiendelee tendwa na kuwafanya wachukie mapenzi??

NINAVYOLITAZAMA SUALA HILI:

· NIANZE NA MABINTI …. KWANINI NI WASALITI.

1. TAMAA:

Mabinti wengi miaka hii wamegubikwa na tamaa. Kutamani kuishi kisasa na kifahari kunawafanya washindwe kudumu na wapenzi wao wenye kipato kidogo. Mabinti wengi mmekua na tama ya mavazi, simu za bei ghali, kuhudhuria matamasha ya gharama, kuendekeza sherehe ambazo hazina namna i.e birthday parties ; ambao huwalazimisha wapenzi wenu waje na zawadi za bei ghali. Mpenzi wako anaposhindwa yatimiza hayo unambwaga ukifikiri kwamba utaokota dhahabu.

2. KUKOSA UVUMILIVU

Mabinti wengi miaka hii wanakosa uvumilivu, wengi wamekua wakitamani vitu vya harakaharaka toka kwa wapenzi wao. Wengi wao wametoka familia za kawaida kabisa na ni mashahidi jinsi gani wazazi wao walivuliana katika taabu , shida na karaha mpaka wao wakafika hapo walipo. Kwanini wao leo washindwe kuwa na subira. Mabinti jifunzeni vumilia hali duni za wapenzi wenu.

3. KUWA NA MAHUSANO NA VIBABA/VIBABU ;

Hii pia ni changamoto kubwa ya ahusiano ya vijana kutodumu na wapenzi wao. Mabinti wengi sasa huona ni ufahari kujinadi wanatoka na wame za watu; eti kwamba si wasumbufu na huwatatulia shida zao haraka na hawawagandi. Hili lina hasara kubwa kwao kwani licha ya kumuumiza mpenzi wake aliyetoka naye mbali, pia huenda akaishia zalishwa na kulea mtoto peke yake: na fikiri wote hapa ni mashahidi wa ‘single mothers’ wanavyoongezeka mtaani. Acheni kutoka na vibaba na vibabu kwa tama ya fedha.

4. KULETA USOMI WAKO KWENYE MAPENZI

Mathalani mpenzi wako ameishia elimu ngazi ya cheti, na katika njia yako ya masomo amekusaidia sana kufikia hiyo degree yako. Unapohitimu unamuona mpezi wako huyo hafai tena licha ya kwamba amekufadhili sana. Unaanza kumletea dharau na jeuri kana kwamba hiyo degree ndio itakupatia watoto au utafunga nayo ndoa. Mwisho wa siku unamuachia maumivu makali kijana huyu aliyeyatoa maisha yake kwako. Mbaya zaidi laana hii inakutafuna na wewe , unagonga mpaka miaka 35 hakuna mwanaume amepropose kwako. HAPO UNAVUNA MADHAMBI YAKO.

· VIJANA WA KIUME MFAYE NINI…

ISHINI NA WANAWAKE KWA AKILI

Hukuzaliwa nae na hivyo usijikabidhishe mwili na roho kwake. Utakuja vuna maumivu. Baki na hamsini zako mwachie hamsini kwake. Hutayakana mapenzi akikutenda.

1. USIMUHUDUMIE RAFIKI WA KIKE KAMA MWANAO

Kuna vijana wako tayari hata leta shida katika familia kwa kutumia pato la familia kumhudumia mtu ambaye wala huna A B C nae na wala kwao hukujui. Utajifilisi wewe na familia yako pale binti huyo uliyemuokata atakapokuacha solemba.

2. USIMSOMESHE BINTI/MWANAMKE….. SOMESHA MKEO HALALI.

Mtakuja kusaga meno na kutaka kujinyonga bure, usimsomeshe msichana ambae huna uhakika na future nae. Mtaumia.

3. KUWA MKALI KWA MAMBO YA KIJINGA: DON’T BE SUBMISSIVE

Kuna baadhi ya vijana wakisha lambwa genitals basi uanaume wote unapotea, anakua mtu wa kupelekeshwa na kuburuzwa hovyohovyo. Binti anakua na sauti juu ya kila kitu. Huo ni uboya wa hali ya juu. Kuwa mkali na ikiwezekana piga. Usiendekeze ujinga. Mwanamke hawezi kubali olewa na boya, atakuacha ukishangaa mataa na kwenda kwa wanaume walio FIRM ON ISSUES.

4. FAHAMU KWAO, UKOO WAO NA TABIA ZAO

Kuna koo zina lana tu ya kutokuolewa nakutokua na shida na ndoa. Sasa wewe ukiingia kichwa kichwa bila kutafiti,.. mataendelea kulia sana hapa.

HITIMISHO.

Ahsante kwa wewe ulie tumia muda wako kusoma makala hii. Pamoja tunaweza ishi katika mapenzi bila kuumizana tukishirikisha akili na siyo hisia. Kila mmoja kwa wakati wake atumie muda wake kumuelewa vyema mpenzi aliye naye ili kuepusha maumivu pale mnaposhindwa fikia malengo huku muda mwingi mkiwa mmepoteza.

Akina DADA , inaanza na ninyi , mnaweza kufuta maumivu kwa wapenzi wenu.

HAPPY NEW YEAR.
 
Lazima tuwaambie ukweli....
Mwaka 2017 usiwe mwaka wa maumivu kwa mwanaume yeyote.....
Wataelewa tu!!@
maumivu lazima mtayapata tu,

hilo halina ubishi

hata wao si kwamba hawana maumivu mnoyasababisha ninyi,

wanakuvumilieni tu

acheni ujinga, kila leo kulia lia
 
hahhaahaa........... hao wanaolialia ndio tuna washtua na kuwapa ufahamu. atakae lialia kijanga mwaka huu hatuna huruma nae.
 
wanaume ninyi si wavumilivu,

kila siku ninyi ni watu wa kuonewa, ninyi mna haki kiasi gani?

vifua vyenu wanaume mnatunzia nini siku hizi?

mnaboa
 
Unalia pale tu ulipokua umeacha akili nyuma na kutanguliza hisia mbele.
 
Suala hili kwa sasa limekua kama ndio lina trend hapa Jukwaani. Haipiti siku hujasikia hujaona thread tatu au nne Vijana(hasa wa kiume ) wakitoa lawama na kulalamika ni jinsi gani wanaumizwa na mabinti katika mahusiano.

Nimekaa nikjiuliza ni kwanini mabinti wengi sasa hubadili gia angani na kuwaacha solemba wapenzi wao waliotoka nao mbali muda mrefu, wengine tangu O/A level ila binti akifika chuo anambwaga Mpenzi wake huyo. Wengine wanakutana chuoni , wanadumu miaka yao yote ya masomo katika mahusiano ila wanapokaribia kuhitimu mabinti hao huwaacha solemba wanaume hao wakihaha. Wengine wanafanikiwa kumaliza chuo pamoja, ila wanapofika mtaani binti bila sababu yote ya msingi anabwagana na mpenzi wake.

Tumefikaje hapa ndugu zangu na vijana hasa wa kiume ambao ndio wahanga wakubwa wafanyaje ili wasiendelee tendwa na kuwafanya wachukie mapenzi??

NINAVYOLITAZAMA SUALA HILI:

· NIANZE NA MABINTI …. KWANINI NI WASALITI.

1. TAMAA:

Mabinti wengi miaka hii wamegubikwa na tamaa. Kutamani kuishi kisasa na kifahari kunawafanya washindwe kudumu na wapenzi wao wenye kipato kidogo. Mabinti wengi mmekua na tama ya mavazi, simu za bei ghali, kuhudhuria matamasha ya gharama, kuendekeza sherehe ambazo hazina namna i.e birthday parties ; ambao huwalazimisha wapenzi wenu waje na zawadi za bei ghali. Mpenzi wako anaposhindwa yatimiza hayo unambwaga ukifikiri kwamba utaokota dhahabu.

2. KUKOSA UVUMILIVU

Mabinti wengi miaka hii wanakosa uvumilivu, wengi wamekua wakitamani vitu vya harakaharaka toka kwa wapenzi wao. Wengi wao wametoka familia za kawaida kabisa na ni mashahidi jinsi gani wazazi wao walivuliana katika taabu , shida na karaha mpaka wao wakafika hapo walipo. Kwanini wao leo washindwe kuwa na subira. Mabinti jifunzeni vumilia hali duni za wapenzi wenu.

3. KUWA NA MAHUSANO NA VIBABA/VIBABU ;

Hii pia ni changamoto kubwa ya ahusiano ya vijana kutodumu na wapenzi wao. Mabinti wengi sasa huona ni ufahari kujinadi wanatoka na wame za watu; eti kwamba si wasumbufu na huwatatulia shida zao haraka na hawawagandi. Hili lina hasara kubwa kwao kwani licha ya kumuumiza mpenzi wake aliyetoka naye mbali, pia huenda akaishia zalishwa na kulea mtoto peke yake: na fikiri wote hapa ni mashahidi wa ‘single mothers’ wanavyoongezeka mtaani. Acheni kutoka na vibaba na vibabu kwa tama ya fedha.

4. KULETA USOMI WAKO KWENYE MAPENZI

Mathalani mpenzi wako ameishia elimu ngazi ya cheti, na katika njia yako ya masomo amekusaidia sana kufikia hiyo degree yako. Unapohitimu unamuona mpezi wako huyo hafai tena licha ya kwamba amekufadhili sana. Unaanza kumletea dharau na jeuri kana kwamba hiyo degree ndio itakupatia watoto au utafunga nayo ndoa. Mwisho wa siku unamuachia maumivu makali kijana huyu aliyeyatoa maisha yake kwako. Mbaya zaidi laana hii inakutafuna na wewe , unagonga mpaka miaka 35 hakuna mwanaume amepropose kwako. HAPO UNAVUNA MADHAMBI YAKO.

· VIJANA WA KIUME MFAYE NINI…

ISHINI NA WANAWAKE KWA AKILI

Hukuzaliwa nae na hivyo usijikabidhishe mwili na roho kwake. Utakuja vuna maumivu. Baki na hamsini zako mwachie hamsini kwake. Hutayakana mapenzi akikutenda.

1. USIMUHUDUMIE RAFIKI WA KIKE KAMA MWANAO

Kuna vijana wako tayari hata leta shida katika familia kwa kutumia pato la familia kumhudumia mtu ambaye wala huna A B C nae na wala kwao hukujui. Utajifilisi wewe na familia yako pale binti huyo uliyemuokata atakapokuacha solemba.

2. USIMSOMESHE BINTI/MWANAMKE….. SOMESHA MKEO HALALI.

Mtakuja kusaga meno na kutaka kujinyonga bure, usimsomeshe msichana ambae huna uhakika na future nae. Mtaumia.

3. KUWA MKALI KWA MAMBO YA KIJINGA: DON’T BE SUBMISSIVE

Kuna baadhi ya vijana wakisha lambwa genitals basi uanaume wote unapotea, anakua mtu wa kupelekeshwa na kuburuzwa hovyohovyo. Binti anakua na sauti juu ya kila kitu. Huo ni uboya wa hali ya juu. Kuwa mkali na ikiwezekana piga. Usiendekeze ujinga. Mwanamke hawezi kubali olewa na boya, atakuacha ukishangaa mataa na kwenda kwa wanaume walio FIRM ON ISSUES.

4. FAHAMU KWAO, UKOO WAO NA TABIA ZAO

Kuna koo zina lana tu ya kutokuolewa nakutokua na shida na ndoa. Sasa wewe ukiingia kichwa kichwa bila kutafiti,.. mataendelea kulia sana hapa.

HITIMISHO.

Ahsante kwa wewe ulie tumia muda wako kusoma makala hii. Pamoja tunaweza ishi katika mapenzi bila kuumizana tukishirikisha akili na siyo hisia. Kila mmoja kwa wakati wake atumie muda wake kumuelewa vyema mpenzi aliye naye ili kuepusha maumivu pale mnaposhindwa fikia malengo huku muda mwingi mkiwa mmepoteza.

Akina DADA , inaanza na ninyi , mnaweza kufuta maumivu kwa wapenzi wenu.

HAPPY NEW YEAR.
Kutokana na hii thread naona wanaume ndio wanaoumizwa tu upande Wa pili hatujaangalia kwan wako wanawake kibao wamelizwa
 
Unalia pale tu ulipokua umeacha akili nyuma na kutanguliza hisia mbele.
vizuri,

unamaanisha wengi wenu siku hizi mmeacha akili zenu nyuma?

unamaanisha kila atae kuja hapa kulia sijui kafanywa nini kaacha akili zake nyuma
 
Kutokana na hii thread naona wanaume ndio wanaoumizwa tu upande Wa pili hatujaangalia kwan wako wanawake kibao wamelizwa
Ni kweli kabisa ,,, hali ndivyo ilivyo kwa sasa ... hawa akina 'Hawa' wamejanjaruka sana.
 
Ni kweli hujakosea wao hupenda kuwapa mabinti lawama binti ukimuhudumia hawez kukutenda
watu wataendelea kutafuta mchawi wa mahusiano au ndoa kuvunjika hawatampata

kwa sababu siku hizi tuna aina ya wanaume wanopenda kulalamika pasi na kuchukua hatua/tahadhari
 
Kuzoeana mpaka inafikia kusahau kuitana majina matamu au halisi,unakuta mtu anamuita mpenzi wake "wewe" au "oya" haya majina yanakatisha tamaa.na kushusha hadhi ya mhusika

Dharau unakuta mkaka anamtambulisha mpenzi wake kwa rafiki,ndugu,jamaa anasema "huyu ni demu wangu"

Ubahili,ubinafsi.mtu kakuvumilia huna kitu ila ukiidaka hela tu unamkwepa mpenzi wako unatafuta kampan mpya.ukifulia ndio unajirudisha lazima ule mtoso.
 
Kuna jamaa aliwahi kuandika uzi humu ndani akihoji wanaume wa Sikh hizi tuna nini? Mfano mwanaume kufanya sherehe ya birthday
Tunapoteza ule ukakamavu/ungangari/uvumilivu sijui tunaelekea wapi
Kama unashindwa kumcontrol mwanamke wako jua fika hakuna utakachomudu kukiendesha
 
watu wataendelea kutafuta mchawi wa mahusiano au ndoa kuvunjika hawatampata

kwa sababu siku hizi tuna aina ya wanaume wanopenda kulalamika pasi na kuchukua hatua/tahadhari
Lakini nanyi muache tabia vunjifu kwa mahusiano,,,,,,,, nafikiri umezisoma ktk mada.
 
Ndio tunawawashia green light jinsi ya kuishi nanyi mwaka huu 2017.
mkuu ni bora zile mashine za kichina

kuliko kuishi na wanaume wa karne hii

ni majanga km si matatizo

badilikeni, mmelegea mno kwa kila jambo
 
Back
Top Bottom