Kuchapa watoto

Kuchapa watoto

kui

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2009
Posts
6,467
Reaction score
6,500
Tumekuwa na tabia katika jamii yetu ya kuwachapa watoto mpaka kuwaumiza (sometimes) kwa kuwaadhibu kama wamekosea, hii adhabu inawafundisha au kuwaumiza tu?
 
Vyote sawa, kumfundisha na kumuumiza ili asirudie
 
....sio kuwafundisha tu, inawaelimisha pia hasa pale inapotolewa kwa kuzingatia kosa husika.
 
Si kwa kuwaumiza mkuu!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Corporal punishment on children is child abuse in my view.

There are so many other ways to discipline a misbehaving child that are effective.

...you remind me of this article by Dr Michael Dyson published in the NYT last month. Nakubali kuna njia Mbadala za kumkanya mtoto mbali ya viboko. Kukomesha viboko kunaanzia nyumbani, na baadhi ya wazazi waliadhibiwa na wazazi wao na wamekuwa wakikirithisha kitendo hiki kwa kizazi chao.
Tutambue kuwa sio waafrika na waarabu pekee wanaoendeleza adhabu hii. Wazungu baadhi wanaiendeleza na kuiondoa ili kufanya ulichoandika hapo juu inahitaji ushawishi kuanzia chumbani
 
....sio kuwafundisha tu, inawaelimisha pia hasa pale inapotolewa kwa kuzingatia kosa husika.

I agree dear .Wote I'm sure tumepitia huko na ndio maana some of us imetusaidia through ourlives. SSimaanishi eti kwa sababu sisi tumefanyiwa hivyo basi na wetu pia wafanyiwe hivyo , No . Wanasema Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo . My kids should know that its okay to do a mistake but have they think first and reasoning before decide to do it? My job is to train them and prepare them for tomorrow. It is sad that eti huwezi kumchapa mwanao anapokosa eti because other people say so , mmhhh , as long you don't abuse your kids its fine for me. Thanks!
 
Corporal punishment on children is child abuse in my view.

There are so many other ways to discipline a misbehaving child that are effective.

Likey, likey zoote!,....Concur 100%
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kuondoa viboko wa moto ni sawa na kuondoa kifo wa mtu mzima.
 
...you remind me of this article by Dr Michael Dyson published in the NYT last month. Nakubali kuna njia Mbadala za kumkanya mtoto mbali ya viboko. Kukomesha viboko kunaanzia nyumbani, na baadhi ya wazazi waliadhibiwa na wazazi wao na wamekuwa wakikirithisha kitendo hiki kwa kizazi chao.
Tutambue kuwa sio waafrika na waarabu pekee wanaoendeleza adhabu hii. Wazungu baadhi wanaiendeleza na kuiondoa ili kufanya ulichoandika hapo juu inahitaji ushawishi kuanzia chumbani

I've never raised my hand to hit my daughter. Matter of fact I've never even remotely come close to it.

Mimi naamini kuwa ukijenga uhusiano mzuri na mwanao tokea akiwa mchanga basi hata kazi ya kumrudisha kwenye mstari endapo inatokea anatoka, inakuwa rahisi.

Lakini pia wakati mwingine haya mambo huwa ni mambo ya mzunguko (cycle). Binafsi sikuwahi kuchapwa wala kupigwa na wazazi wangu.

Nilipokosea waliniambia vizuri tu tena bila hata kunifokea na nilielewa nilichoambiwa nimekosea na sikurudia tena.

Hiyo ni kwa sababu nadhani baba alikuwa kajenga uhusiano mzuri sana na mimi tokea nikiwa mdogo na hivyo nilikuwa namwamini sana.

Sasa unakuta mtu anakapiga katoto ka miaka minne utadhani anapigana na mtu mzima.

That's just not right. Sasa huyo mtoto naye akija kuwa na wanae huo mzunguko wa violence si utazidi kuendelea tu.

Kupiga watoto si sawa hata kidogo.
 
unaumia na unapata fundisho siku nyingne usirudie ila adhabu hii ilingane na umri wapendwa
 
Kuna mitoto usipoi chapa haiendi kabisa

Its true dear . Hakuna mzazi yeyote ambaye anapenda kumchapa mwanae hata siku moja bila sababu but sometimes they have to do it just to make sure a lesson imefika. Ninaona watoto wengi Wa nchi za nje walivyokuwa rude very rude. Utakuta Mtoto anamjibu mzazi wake whatever she/ he wants that's not good at all . yote ni kwa sababu ya malezi . Thanks!
 
Bila ya kuchapwa nsingefika hapa nilipo, wenzako wengi walikua hawachapwi saivi maisha sio mazuri kwa upande wao
 
I've never raised my hand to hit my daughter. Matter of fact I've never even remotely come close to it.

Mimi naamini kuwa ukijenga uhusiano mzuri na mwanao tokea akiwa mchanga basi hata kazi ya kumrudisha kwenye mstari endapo inatokea anatoka, inakuwa rahisi.

Lakini pia wakati mwingine haya mambo huwa ni mambo ya mzunguko (cycle). Binafsi sikuwahi kuchapwa wala kupigwa na wazazi wangu.

Nilipokosea waliniambia vizuri tu tena bila hata kunifokea na nilielewa nilichoambiwa nimekosea na sikurudia tena.

Hiyo ni kwa sababu nadhani baba alikuwa kajenga uhusiano mzuri sana na mimi tokea nikiwa mdogo na hivyo nilikuwa namwamini sana.

Sasa unakuta mtu anakapiga katoto ka miaka minne utadhani anapigana na mtu mzima.

That's just not right. Sasa huyo mtoto naye akija kuwa na wanae huo mzunguko wa violence si utazidi kuendelea tu.

Kupiga watoto si sawa hata kidogo.

Well said Cuzzo!
 
Back
Top Bottom