Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Waungwana, Habari. Inapeperuka dhana mitaani ya kuwa wapo Watu Wanawake kwa wanaume, Ambao inaaminika ikitokea Punde tu umeshirikiana nae 'Kingono' basi kama una MIPANGO yoyote yakimaendeleo...
1 Reactions
27 Replies
5K Views
Nimekuwa nikipata maombi toka kwa watanzania mbali mbali kuhusu ku-coordinate uanzishaji wa Chama cha Wakinamama pamoja na kinababa waliozaa na raia wa matatifa niliyotaja (Nigerians & Chinese)...
4 Reactions
20 Replies
3K Views
Freelancer Wakala utaoa lini? Wakuoa niwe Mimi? Bado nipo nipo kwanza.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habarini wadau,Nina rafiki angu ambae tunafanya kazi pamoja ana tabia ya kuwataka X wangu ,Sasa kuna X wangu kaomba turudiane then akaanza kunisimulia jinsi huyo rafiki angu alivyokua anamtaka...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Kuna watu tumewaruhusu Wawe Shareholders kwenye Maisha yetu lakini HAWANA FAIDA HATA 1.... ---Hawajawahi KUKUPA HELA ---Hawajawahi kukupa DILI LA HELA ---Hawajawahi kukupa Ushauri wowote wa...
20 Reactions
53 Replies
7K Views
INAUMA SANA! Dada mmoja akiwa ofisini alipigiwa simu kuwa mwanae amepata ajali wakati anatoka shule, alikuwa ameumia sana. Kwa harakaharaka yule dada aliwasha gari na kuanza safari kuelekea...
22 Reactions
31 Replies
3K Views
Upo na mpenzi wako chumbani mkishiriki tendo? Sauti nzuri ya kuugulia tendo lile wakati wewe una push in na ku pull out, ghafla simu ya mpenzi wako inaita akaacha zile sauti na kupokea simu huku...
14 Reactions
77 Replies
8K Views
IWE CHUNGU AMA TAMU Kwetu ulimi maneno, mengine ni ya ziada, Siye twatoa misemo, na nyimbo kwenye ibada, Ladha kwetu siyo somo, ladha kwetu siyo shida, Iwe chungu iwe tamu, cha msingi ni kushiba...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ni matumaini yangu kila mtu yuko poa. Baada ya kukaa nikatafakari sana nimeona maisha ndo haya haya, wakati ndo huu. Hakuna sababu ya kusubiri sana. Mimi ni kijana miaka 27. Nina shahada ya...
1 Reactions
74 Replies
6K Views
`Kufuatia kifo cha baba mzazi wa Juma(sio jina halisi)tunaomba michango ya rambi rambi itumwe kwenye namba xxxxxxxx kwa kadri ulivyoguswa....................`Ni ujumbe uliotumwa kwenye group moja...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Heri ya mwaka mpya wanajamvi, Mimi ni kijana ninamiaka 27, ninarafiki yangu wa kike ambae ambae anataka nimpe mimba. Ila ubaya mimi sina mtoto na wala sijaoa ila yeye aliolewa na anawatoto 4...
0 Reactions
101 Replies
10K Views
Habari wanajukwaa, Nimekuwa nikipata shida sana katika kutambua nini hasa sababu ya mtoto wa kike kumpenda sana baba kuliko mama na mtoto wa kiume kumpenda sana mama kuliko baba. Na vilevile pia...
1 Reactions
2 Replies
4K Views
Habari zenu wanakijiji wa dunia, Somo hapo juu linahusika: Haihitaji utafiti takwimu wala ushuhuda kuwa penzi likimkolea mtu kisawasawa basi hubaki kama ndondocha kwa mwenzi wako.-Utafuata na...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Habari wanajukwaa, Katika mahusiano hua kuna jambo unamfanyia mwenzio unaamini kwa jambo hili litafanya pendo lenu lidumu mpaka kifo. Unalifanya jambo hilo kwa kujitoa sadaka kabisa moyo wako mda...
0 Reactions
113 Replies
12K Views
Habarini Wakuu, Mada yangu inaanza kwa maswali yafuatayo:- [emoji666] Hivi inamaana kweli hakuna Wanawake Mabikira sikuhizi? [emoji666] Hivi kweli hakuna Wanawake wanaojiheshimu na kuheshimu...
0 Reactions
3 Replies
992 Views
Habarini wadau,jamani nna tatizo la kuchelewa kukojoa hasa kuanzia goli la pili na kuendelea yani nikiwa namla demu kulipata goli 2 3 4 5 6 inachukua muda mrefu yani zaidi ya dk 35 kupata goli...
0 Reactions
34 Replies
5K Views
Habari wakuu, nina miez miwil toka nimchukue huyu binti wa kazi ili anilelee mtoto wangu mdogo, ila toka kafika ni mtu ambaye homa hazimuishi kuumwa kila siku.... juzi nikampeleka marie stopes...
8 Reactions
252 Replies
17K Views
Wasalaam wanabodi, Leo nimesikia magazeti yakiripoti kuwa wanawake nao wachangamkia supu ya pweza. Supu ya pweza inaaminika kuamsha hisia za tendo la ndoa kwa mwanaume ambaye nguvu hizo zipo...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
nmeanza ku2nga ktabu changu knaitwa i still have hope. ntaktunga mwaka mzma. ntawaletea summary 31.12/2017. stay tune
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wakati wa nyuma kidogo natolea mfano wa account yangu ya Facebook yaani nikiandikia watoto wa kike hata salamu tu unakuta haujibiwi na mtu hata wa bahati mbaya. Ila kuanzia wiki ya sikukuu za...
4 Reactions
21 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…