Mwinjilist mtume nabii
JF-Expert Member
- Feb 21, 2015
- 2,437
- 1,098
Bwana Yesu asifiwe,
Kuna aina kuu 2 za uzazi wa mpango unaokubalika na MUNGU.
Na aina izo ni kutokana na makundi mawili::
1. Uzazi wa mpango kwa mabinti wasioolewa.
2. Uzazi wa mpango kwa walio kwny ndoa.
Aina ya kwanza ni:
1:WOKOVU
NJIA nzurii ya uzazi wa mpango kwa mabinti wasioolewa ni kupata Wokovu. Maana ktk Wokovu hakuna malengo ya kufanya mapenzi sasa utatumia uzazi wa mpango wa hosptali ili iweje wkt wewe ni Mwokovu?
Maana ukiona mtu anahangaika na uzazi wa mpango ujue huyo ni kahaba/malaya aliyekubuu maana ngono ndio maisha yake.
Kwaiyo Wokovu ndo njia sahihi ya uzazi wa mpango kwa binti asieolewa.
Njia ya pili:
2: ROHO MTAKATIFU
Hii njia ya uzazi wa mpango inayoweza kutumiwa na waliopo kwny ndoa. Yaan mnaweza kumshirikisha Mungu juu uzazi wenu. Na Mungu yeye ni Mwaminifu na anasema husikiliza maombi ya wenye haki wake. Na Yesu anasema ""mkiomba lolote kwa jina langu Baba yangu wa mbinguni atawapa""
Hivyo ni muhimu sana kumrudia Mungu na kuwa na Mahusiano na Mungu.
ANGALIZO
Unaposhirikisha Mungu hapa hakikisha haumshirikishi kupanga uzazi wa mpango kwa madai eti maisha ni magumu kufanya hivyo itakua ni sawa na kumpangia Mungu.
Kama unamshirikisha Mungu ni ili tu kwa ajili ya kumpa mtoto nafasi kwa muda fulani labda mwaka 1½ au 2 lakni sio miaka 5
KUMBUKA NJIA ZA UZAZI WA MPANGO ZA HOSPITALI HAZIKUBALIKI MBELE ZA MUNGU.