Naomba ushauri: Nimuoe yupi kati ya hawa?

OAKMAN

Member
Jan 12, 2017
10
6
Wadau naomba niwashirikishe kidogo kwa muda mrefu nimekua kwenye dillema ya mahusiano nipo katika mahusiano na wadada watatu tofauti.Umri unaenda na ninatakiwa nioe mmoja kati yao..Wa kwanza she is so beautiful, ana nidhamu,mpole na mnyenyekevu na ananipenda pia ila hayupo romantic kabisa,Wa pili ye sijawahi kumeet naye tulikutana kwenye social media ananipenda sana and she is beautiful too,na amekua msaada mkubwa sanaa imagine hajawahi kuniona live zaidi ya picha na kuniona kwenye skype na imo lakini napohitaji msaada wake amekua muda muhimu sana wala hapigi vizinga kama wanawake wengine wa mjini..Wa tatu sema ukweli ni wa kawaida sana sio mzuri kihivo lakini she is very intellingent nje na ndani ya darassa,ana heshima sana,mnnyenyekevu kuliko mfano na anajua kutafuta pesa ana biashara zake uku anasoma na ye kawa msaada mkubwa sana napokwama kwa mambo mbali mbali kwakweli sijui nichague yupi wadau nisaidieni
 
Kwanza wewe kama wewe umeshawatoa kasoro hao wawili ulioonana nao means hauwapendi unatafuta sababu uwatose, wa mtandaoni ndio chaguo lako ila hauna uhakika unataka utafuniwe jibu hapa. Pole
 
mbuuutra.. km nawaina hao wadada wawil kati ya hao watatu wakisononeka...
 
Wa pili atakuwa ma hitilafu mahali, itauziwa mbuzi ktk gunia.
Chukua wa tati, yaonesha atakujenga zaidi.
 
Back
Top Bottom