Illuminata Rodgers
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 2,845
- 2,020
Hellow jf,ni siku chache tu tumetoka maliza mwaka wa 2016 embu niambie kwa mwaka ulopita nani hero wako na kwann?me binafsi my mummy ndo my hero kwa last year.
Huyo jamaa ni man of the century. I like him tofauti na hawa nyumbu wetu,Rody Durtete ndio shujaa wangu 2016.
MunguLisu
Simpendi huyo kiumbeDonald Trump
Donald TrumpSimpendi huyo kiumbe
Why?My son
NdiyoDonald Trump
HahahaNdiyo