Mchepuko kuja bila taarifa

Wazabanga kuku

JF-Expert Member
Dec 13, 2016
264
378
Wadau hivi ni sahihi mchepuko wako kuja ghetto/nyumbani kwako bila taarifa kwa kisingizio eti kakufanyia suprise ,

Huu ni wivu au nini jamani
 
Si umuulize mwenyewe?! sisi tunajuaje mawazo yake??
mijanaume mingine buanaa... hata "kaogemvuto" anakushinda akili ndogo kama hii?

Ameuliza pengine unaweza ukawa na jibu fasaha.
Kwa sababu akili za wanawake karibu wote katika suala la mapenzi zinafanana.

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG]
 
Ameuliza pengine unaweza ukawa na jibu fasaha.
Kwa sababu akili za wanawake karibu wote katika suala la mapenzi zinafanana.

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG]

Vyema! mwambie aendelee kusubiria majibu fasaha kutokea jamiiforum kuhusu anachowaza huyo mchepuko wake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom